Ningemuacha 'dada' yangu huyu dunia ya wanaume ingenizomea

Mkuu,jifunze jambo hili 'ukimuazima fedha mwanamke tegemea kulipwa papuchi'
Pia,ukimtendea mwanamke wa Kiafika wema hususani Mwanamke wa Kitanzania,hatakama atakulipa fedha nyingi sana lkn asipo kupa papuchi huhisi kama bado hajakurejeshea fedha/fadhila
Pia,iwe ni funzo kwako...nimewahi kufanya biashara na wanawake (ilikuwa ni biashara ya fillet/nyama),mwanamke akichukua mzigo kwa mkopo na akala hasara kwenye mzunguko wa biashara basi atakutaka mmalizane kwa kukupa papuchi
Vilevile,akichukua mzigo kwa mkopo akazungushia na kupata faida;hataki kurejesha fedha alizokopa kwa mwanaume cuz anahsi kama vile anatoa fedha ya bure kumbe ni fedha halali ya mtu

Mwisho,niwakumbushe mwanaume wenzangu kuwa ukiingia ktk mahusiano na mwanamke anayefanya biashara hasa biashara za kusafir Mara kwa Mara basi umeingia kwenye mahusiano na siti ya daladala.Nawapongeza sana ndugu zangu Waislam (japo mm ni mkristo) kwa kuyaishi na kuyasimamia mafundisho yao (wao wanaamini kuwa mwanamke anapaswa kubaki nyumbani kwaajili ya kumlea mumewe na watoto)
Kiafika=kiafrika
 
Darasa zuri sana Monde, nimechukua mawili matatu yatanisaidia mbele ya safari
 
Kwa hiyo pesa umesamehe, mbele ya pesa zangu nisingemla huyo dada hata kwa bunduki. Huyo dada alitumia bidhaa yake kufuta deni, Punguza udhaifu mkuu.
Pesa ni kama ilirudi na faida nyingi tu, kuna biashara tulifanya pamoja na ililipa vizuri sana
 
Mkuu ilitakiwa umalize mchezo kulekule ofisini, ila sio mbaya siku nyingine usioneshe udhaifu hivyo hawakawii kukutangaza hao kuwa jongoo hapandi mtungi.
Dah! Kweli eeh? Lakini nilikua namchulia kama sister wangu kabisa yaani, kweli you never know with women
 
Back
Top Bottom