Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,659
- 19,376
Ni dada binamu wa aliyekua rafiki yangu(rafiki yangu huyo alishafariki, R.I.P), na nikimchukulia kama dada yangu haswaa. Mara ya kwanza kumuona ni kwenye graduation yake pale IFM amabapo nilihudhuria mimi na rafiki yangu nikiwa kama mwana familia na baadae usiku kwenye sherehe. Mara ya pili kumuona ni miezi kama saba baadae ofisini kwao ambapo wao(familia) walikua ni mawakala wa bidhaa fulani kutoka nje na mimi nilikwenda kama mteja na kwa bahati (chagua kama ni nzuri au mbaya) nikajikuta nahudumiwa na huyu binti. Tangia hapo tukawa tunawasiliana kwa maongezi ya kawaida
Kuna siku akanipigia simu akanambia amepata safari ya kibiashara nje ya nchi, kwa hiyo anataka aitumie fursa hiyo kuangalia uwezekano wa kuanza biashara yake mwenyewe na kwamba atakapokua anarudi achukue baadhi ya bidhaa alete kuziuza bongo, so kama niko kwenye position anaomba nimuazime kiasi cha pesa kwa ajili hiyo, na akaniahidi atarejesha pindi atakaporejea na kuuza bidhaa hizo. Nilikua kwenye position na nikampatia kiasi hicho alichokihitaji
Baada ya siku hiyo hatukua na mawasiliano kwa siku nyingi kidogo japo nilijua alisharudi safari yake. Sikutaka kumpigia hata kumsalimia maana nilitaka nimpe nafasi ya kutosha kuzunguusha biashara yake, maana pengine simu yangu ingempa pressure na pia kipindi hicho sikua desparate na hizo pesa, hivyo nikaona kama nimeziweka tu bank.
Siku kadhaa baadae yeye ndie alikua wa mwanzo kunipigia, akaniomba niende ofisini kwao, nikafanya hivyo nikitumaini naenda kuchukua mpunga wangu. Maongezi ya mwanzo tu nikahisi hela zitachelewa kulipwa and I was prepared kukubali muda wowote atakaosema atatumia kunirudishia. It was more than that, akaniomba tena nimuazime kiasi kingine cha pesa ambacho atakitumia kulipia refesho la mkopo! Alinipa story ndefu lakini mwisho wasiku nikampatia nusu ya pesa alizoniomba nyingine nikimuahidi nitampa kesho yake though akilini mwangu nikasema hizo ndio za mwisho kumpa.
Kesho yake, kutwa nzima alikua akinipigia na mimi nikimwambia dada niko busy nitapita hapo ofisini kwao baadae. Hakuacha kunipigia hadi saa tano na nusu usiku akanambia bado yupo ofisini ananisubiri! Nikaona hakuna namna ngoja niende. Ofisi zote zilikua zimefungwa isipokua ya kwao na kabaki peke yake. She was in a very tempting mini skirt an see through blouses, but to me she was just my sister kabisa. Tukawa tunaongea hadi saa sita usiku,. Ikabidi nimsogeze kwenye kituo cha karibu cha bus lakini kila kituo nilichokua nampeleka kulikua hakuna daladala za kwao, hatimaye nikafanya tu maamuzi ya kumrudusha hadi home kwao sababu muda ulikuwa umeenda sana.
Wakati anashuka kwenye gari alikua kama anasitasita hivi na mwisho nilipomuaga kua inabidi niondoke nisije nikasinzia njiani akanipiga jicho flani ambalo kwa wakati huo sikulielewa. Nikaondoka zangu, lakini baada ya kama dakika tatu hivi akanipigia akaniomba nirudi kuna dharura! Niliogopa nikidhani labda atakua bado hajafunguliwa na anaogopa vibaka, fasta nikarudi kumfata na nilipofika akasogelea gari akafungua mlango akaingia na akanielekeza nikapaki pembeni ya ukuta wa nyumba yao ambapo kulikua na miti mingi na giza.
Hakupoteza muda, akaanza 'Ses thanks for everything.......'. Hasira zikaanza kujikusanya kuona kua nimerudishwa hadi huku ili tu anambie asante! But kabda sijaanza ku protest au kuuliza alichonirudishia, her lips was against mine, kissing, licking,biting! Na kama mnavojua mwanaume ni askari wa miamvuli (paratrooper) ana shoot on landing, na hawenga wanasema 'genye za mwanaume haziandikiwa barua', huwa zipo at disposal anytime and thre rest is history. Kama ningemuacha sijui kama ningesameheka kwa timu wanaume ingawa nikiri hatukutumia kinga siku hiyo. Ile pesa haikurudi directly but it came back in so many ways ambazo bado ni siri yangu