Mkuu Baba Swalehe pesa ilikuja kurudi kwa namna nyingine ambayo ilikua na faida kubwa sana kwangu ingawa siwezi kuweka hadharani
Hahah mtani kwenye pesa nipo makini sana.....Hahahaa. Mtani kumbe mchungu weye eee?
Umeonaeee. Na inapotokea sasa kwa hao walioumbika na wenye kauli za kuhamasisha ndio yanatokea ya kina Sesten.Hahah mtani kwenye pesa nipo makini sana.....
Pesa inahitaji heshima aisee....
Ingawa kuna wadada wameumbika aisee unaweza sema wameshushwa dunia hapo ikiwezekana utakula ila basi atleast arudishe half the money aliotoa [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nina kiporo changu pahala kimetulia tu, kakopa mara mbili hajarejesha anakopa tena, yy anafikiri labda sijui lengo lake , tumeseji meseji twiiiingiiiii twa mahabamahaba kama sielewi kinachoendelea vile kumbe namz00m tu namsubiria arudi safarini ni mwendo wa staili ya kuchinja kobe tuNawapendea hapo tu wanaume japokuwa siku hizi sio wote wako hivyo. Yaani huwa kuna sehemu huwa hawajuagi kupindua unaweza kopwa wee na ukatoa pasi kuwaza zitarudi vp.
Hivyo Sesten hizo siri zako ni kwamba deni lilikwisha ama?
Hahahaa. Hivyo utafidiia deni juu kwa juu lol.Nina kiporo changu pahala kimetulia tu, kakopa mara mbili hajarejesha anakopa tena, yy anafikiri labda sijui lengo lake , tumeseji meseji twiiiingiiiii twa mahabamahaba kama sielewi kinachoendelea vile kumbe namz00m tu namsubiria arudi safarini ni mwendo wa staili ya kuchinja kobe tu
Ukiniletea za kuleta sikuachi labda kama nafsi haijaridhika na ww- seeeeh!Hahahaa. Hivyo utafidiia deni juu kwa juu lol.
Uko.vizuri sana Mbalizi aisee.
Aaah mjukuu usiniombee hlo...mi mwenyew nataka kuhudumiwa na kulelewa...habar za kuadopt watoto wakubwa taziweza wap[emoji23]Bibi poooh unatafuta marioo eeeh
Hahahaa. Nshakufahamu atiiiiii.Ukiniletea za kuleta sikuachi labda kama nafsi haijaridhika na ww- seeeeh!
Mwanamke nje ya mfumo rasmi hakopeshekiThe moral of the story?
Kilichomuua nani sasa?kilichomuua ni........hechi ai vii??
Aliyekufa ni kaka yake soma vizuri mstari wa kwanza wa uzi, nishawahi kumfungulia uzi humu huyo rafiki yanguc umesema alikufa? sasa kumbe ni CHAI