Ningemuacha 'dada' yangu huyu dunia ya wanaume ingenizomea

Ningemuacha 'dada' yangu huyu dunia ya wanaume ingenizomea

Nawapendea hapo tu wanaume japokuwa siku hizi sio wote wako hivyo. Yaani huwa kuna sehemu huwa hawajuagi kupindua unaweza kopwa wee na ukatoa pasi kuwaza zitarudi vp.

Hivyo Sesten hizo siri zako ni kwamba deni lilikwisha ama?
Hajar unauvuta ulimi wangu ili nizimwage hadharani tu hizo siri, hahahaaa. Haya umeshinda bana. Ni kwamba kuna biashara tulikuja kufanya pamoja kwa yeye kuniletea mzigo kutoka huko nje alipokua anakwenda nami nikawa namlipa tunamalizana, soko la ndani nilikua nalijua mimi, nikawa napata faida mara kumi na tano ya alivyokua anadhani yeye. Ila kiukweli hiyo biashara ilitokea tu kwa bahati vinginevyo ilikua nishapoteza!
 
Back
Top Bottom