Ningemshangaa sana Mungu

Ningemshangaa sana Mungu

Hii comment imefunga Uzi.
Uzi ufutwe
Hiyo comment imeonesha udhaifu wa Mungu

Kivipi

Kama Mungu ndio muumbaji wa kila kitu na yeye ndio controller wa huu ulimwengu hivyo hakuna jambo linaweza kufanyika bila yeye kuliruhusu lifanyike.

Ukipinga kua kuna mambo yanafanyika bila yeye kuyaruhus yafanyike hapo utakua umesema Mungu sio mtawala wa huu ulimwengu na wala hana uwezo wa ku-control kila kitu

Kwasababu Mungu anasifa ya ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote hivyo kwasifa zake hizi hakutakiwi kuwe na kasoro yeyote katika uumbaji wake

Na mbaya zaidi hatakiwi kumuadhibu kiumbe kwa madhaifu ambayo yeye amekiumbia kiwe nayo. Kufanya hivyo ni kukionea hicho kiumbe kwasababu hicho kiumbe kimefata kanuni ambazo yeye alikusudia kiwe
 
Mtoa mada acha kutupotosha na kuturudisha kipindi cha Middle Ages kilichotokea huko Ulaya! Hakuna uhusiano kabisa kati ya ugonjwa wa Corona na hayo matatizo uliyo yatoa.

Kumbuka hii ni karne ya 21 na siyo ya 10! Sayansi na Teknolojia, ndiyo mpango mzima.
 
Hiyo comment imeonesha udhaifu wa Mungu

Kivipi

Kama Mungu ndio muumbaji wa kila kitu na yeye ndio controller wa huu ulimwengu hivyo hakuna jambo linaweza kufanyika bila yeye kuliruhusu lifanyike.

Ukipinga kua kuna mambo yanafanyika bila yeye kuyaruhus yafanyike hapo utakua umesema Mungu sio mtawala wa huu ulimwengu na wala hana uwezo wa ku-control kila kitu

Kwasababu Mungu anasifa ya ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote hivyo kwasifa zake hizi hakutakiwi kuwe na kasoro yeyote katika uumbaji wake

Na mbaya zaidi hatakiwi kumuadhibu kiumbe kwa madhaifu ambayo yeye amekiumbia kiwe nayo. Kufanya hivyo ni kukionea hicho kiumbe kwasababu hicho kiumbe kimefata kanuni ambazo yeye alikusudia kiwe
Ndo maana kila siku naendelea kupinga kuwa hakuna Mungu, Kama yupo basi sio yule aliyeandikwa kwenye vitabu hivi maarufu.
 
Japo sitakufuru, ila nauliza tuu, kwahiyo mwanadamu ana upeo sawa/karibia na M/Mungu??
Kuna wakati Mungu alijilaumu kwa nini alimuumba mwanadamu na kukiri kuwa hataweza kushindana nae na kuamua kumfutilia mbali juu ya uso wa dunia. Kaleta garika.

Kumbuka mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu, na hapo ndio tatizo linapokuja. Kumbe mwanadamu ni photo copy ya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi.

Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao kwa namna mbalimbali, wapo wasioheshimu utu wa mwanadamu wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.

Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika. Nina wasiwasi corona inaweza kuwa ishara ya gharika lijalo siku si nyingi tusipojirekebisha
Mungu katuumba na utashi, we kujua jema na baya.
Mungu ana demokrasi, si dikteta. Uhuru ni wa wanadamu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama mtoa mada kakosea katika maelezo yake; ila wewe hukupaswa kuhoji kwa jinsi hii. Kweli itawezekana vipi aliyeumba akili Yeye mwenyewe aikose hiyo? Siyo kwamba wewe ndiyo mwenye tatizo hilo?
Sasa kama Mungu mwenyewe ndio kiongozi wa kuua watu kwa kuleta gharika kwa wakosefu na wasio wakosefu ana akili kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By the way hii corona inesababisha hali ya hewa kuwa Safi huko ulaya na baadhi ya mito imeshuhudia uwepo wa samaki tokea miaka mingi iliyopita.
 
Kuna wakati Mungu alijilaumu kwa nini alimuumba mwanadamu na kukiri kuwa hataweza kushindana nae na kuamua kumfutilia mbali juu ya uso wa dunia. Kaleta garika.

Kumbuka mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu, na hapo ndio tatizo linapokuja. Kumbe mwanadamu ni photo copy ya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Photocopy au mfanano unaozumgumziwa kati ya Mwanadamu na Mungu hutoka katika Roho,kumbuka Mungu si Mwili Mungu ni Roho
 
Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi.

Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao kwa namna mbalimbali, wapo wasioheshimu utu wa mwanadamu wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.

Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika. Nina wasiwasi corona inaweza kuwa ishara ya gharika lijalo siku si nyingi tusipojirekebisha
wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.

Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika.

HAWA WATU WANAHARIBU HII NCHI VIBAYA SANA KUWENI MAKINI MNO OCTOBER. UKABILA NI JANGA KUBWA SAFARI HII.
 
Mtoa mada sijakuelewa inamaana, kichwa cha habari kinaongelea mungu kushusha gharika, maudui ya ndani yanalenga tanzania tu sasa ninajiuliza gharika lipo tanzania tu? Au ni dunia nzima acha chuki bas kyoma,
Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi.

Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao kwa namna mbalimbali, wapo wasioheshimu utu wa mwanadamu wengine wanatukana watu wazima hadharani tena bila kujali kuwa hawa watu wazima wana wake watoto, wajukuu wanaowaheshimu sana, kuvunjiana heshima, sasa tunabaguana wenyewe kwa wenyewe mfano ikitokea raisi akawa msukuma basi viongozi wote wa serikali.

Vitengo na seksheni mbalimbali watakuwa wasukuma. Watu wanajijengea mahekalu, ranchi za kustarehe kana kwamba hicho ndicho watanzania wamewatuma kuwafanyia. Hakuna namna mungu angetuacha tuendelee hivi, lazima angeshusha gharika. Nina wasiwasi corona inaweza kuwa ishara ya gharika lijalo siku si nyingi tusipojirekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada sijakuelewa inamaana, kichwa cha habari kinaongelea mungu kushusha gharika, maudui ya ndani yanalenga tanzania tu sasa ninajiuliza gharika lipo tanzania tu? Au ni dunia nzima acha chuki bas kyoma,

Sent using Jamii Forums mobile app
soma mada vizuri, mada inaongelea gharika la dunia , yaliyosemwa kwenye mada yanatokea duniaa nzima, Marekani wanabaguana, waanaoana wanaume kwa wanaume, raisi wao anatukana bila kujali utu, huo ni mfano tu. Usijifikirie vibaya wewe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom