Ningekuwa Rais ningepunguza jina la Wizara ya Sheria na Katiba, ikabaki Wizara ya Sheria

sammosses

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,682
1,110
Kuna mambo magumu yanayotaka tafakuri ya kina kuyajadili hasa ukiwa na akili timamu,unawezaje kuwa na Wizara ya Katiba na Sheria katika nchi yako, ikiwa wizara hiyo inashindwa kushauri na kusimamia matakwa ya sheria na katiba.

Unawezaje kuwa na wizara ya sheria na katiba kwenye nchi inayoamini katiba si muarobaini wa matatizo ya wananchi?

Unawezaje kuwa na Wizara ya Sheria na Katiba ikiwa mtawala mkuu wa nchi kwake katiba si kipaumbele?

Tutafakari kwa kina kisha tujadili.
 
Back
Top Bottom