Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 170,416
- 188,509
Ukweli ndiyo huo yoyote yule lazima ajilimbikizie mali, una mfuko ambao matumizi yake hayakaguliwi na CAG kwa nini nisijilmbizie mali...Mawazo finyu na duni sana. Katiba ya mwaka 1977 inatungenezea majizi na majambazi yaliyo madarakani
Hakuna wa kukuhoji wala kukushtaki hata ukistaafu... Aisee tumbo langu kwanza..