The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,510
- 2,060
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000.
Napata tabu sana kuelewa kwamba kama taifa sijui kama tunajua tatizo halisi tulilo nalo. No wonder bustani za mbowe zilifyekwa.
Inakuwaje mtu aliyekuja na mabilioni yake, ameyawekeza hapa kwetu, ameajiri watu wetu, ukizingatia changamoto kubwa ya ajira inayotukabili, amekuja kulima maua ili baada ya mauzo tupate fedha za kigeni idara za serikali zimeshindwa kumsikiliza hadi anafikia kukata tamaa.
Mbaya zaidi mimi nilidhani baada ya malalamiko yale ofisi zinazolalamikiwa zingefunga safari na kumfuata ofisini kwake ili kujua shida iko wapi na wamtatulie, badala yake wanasema aje ofisini kana kwamba hajawahi kwenda kwenye ofisi zao.
I wish I could be some body wale wahusika wa idara zote zilizohusika na upuuzi huu zingekuwa kwenye misukosuko mkubwa sana!