elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Hata mtoto uzae na mgomba!
Kila anachosema baba kipo sawa?...wot if yeye ndio analeta mifarakano kwny ndoa?
Kwani wewe ina maana hujaona watu wanazaa na watoto bila kuoa
Si wanawake hawana maana kwako,tafuta mgomba uzae NAO!
Things are complicated, sio kila anachosema kiko sawa ni mengi tu uwa nina ya ignore
Halafu mkuu hakuwa ananipa ushauri ni kauli tu aliyosema katika mazungumzo lakini naona imeniaffect
Nipo na mke wangu zaidi ya miaka 5 sijawahi kujutia kuoa au kuwa naye.
Hata mtoto uzae na mgomba!
mkuu hayo aliyosema baba yako anaweza akawa sahihi kabisa kwasababu kuna wanawake yaan unajiuliza huyu alifundwa na binadam kweli?! Wanawake wanaweza kukufanya ukawa na roho ya kinyama sana au unaweza kuwa na mtizamo tofauti kabisa juu ya hawa viumbe.
Mzee wako yupo sahihi kabisa kwa kauli aliyokwambia.
yapo yaliyokuaffect waache wazazi wako na yanayowasibu!Things are complicated, sio kila anachosema kiko sawa ni mengi tu uwa nina ya ignore
Halafu mkuu hakuwa ananipa ushauri ni kauli tu aliyosema katika mazungumzo lakini naona imeniaffect
Umenielewa vibaya mkuu
Nipo na mke wangu zaidi ya miaka 5 sijawahi kujutia kuoa au kuwa naye.