Ninayokutana nayo kwenye kitabu cha i can i will I must sjui kama Rais wangu alikisoma kitabu kabla ya kukizindua?

Ndo kwanza nmefika ukurasa wa tano wa kitabu cha Marehemu mzee Wetu Reginard Mengi.

Nikili wazi kuwa nilitamani nisome kitabu hiki kabla ya kifo chake, ingawa nilikatishwa tamaa na lugha aliyoitumia mimi kwangu niliona kama ni changamoto.
Pili niliogopa kukinunua kitabu hicho nilijua ni kitabu ambacho kitanunuliwa na matajiri wenzake maana niliisi kitakuwa bei aghali sana.

Yote haya yamefutwa na Kifo cha mwandishi nikili kuwa naumia sanaa ninaposoma kitabu hiki ilihali mwandishi ameisha aga Maisha


Nikili kuwa,sio mara yangu ya kwanza kulia nikiwa nasoma vitabu vya namna hii,nakumbuka kwa mara ya kwanza nilisoma kitabu kimoja kizur sanaa kiliitwa SAFARI YA MWALIMU KATOTO kitabu hiki,nilikinunua kariakoo baada ya kukisoma nikagundua mwandishi alikuwa ni marehemu Babu yangu mzaa mama,kitabu hiki kilisheheni visa na mikasa ambavyo kwa sasa hatuwez pata waandishi kaka hao.

Kuusema ukweli,nimesoma kitabu cha i can i will i must,nmejikuta nalia na kilichoniliza sio kifo tu cha mwamdishi nimejiuliza na kulia je aliyekizindua alikisoma akaona mzee wetu Mengi alivyo usema ukweli dhidi ya wanasiasa?
Hii nayo kali sana boss. Yaani post yote uko busy kutueleza namna unavyosoma na kulia? Au lengo hasa lilikuwa ni nini kuandika post hii?

Ulikuwa na mada nzuri sana, tena sana, sema imetawaliwa na mahaba ya kulia.

Kiukweli hata mimi nimekisoma. Niseme tu kwamba, I Can, I Must, I Will ni kitabu ambacho unaweza kukisoma kwa nia ya kupata mawazo ya biashara na ujasiri kwenye suala kama hili, lakini mwisho wa siku utaambulia porojo tu na uongo uongo na kufunika mambo mengine ya msingi kabisa ambayo Watanzania, hasa mimi binafsi, nilitarajia atakuwa ameyaweka wazi. Hakuna kitu cha maana sana.


Nimejipa muda nikisome hadi mwisho, kisha nitaeleza kwa undani mafanikio na madhaifu ya mwandishi, ila binafsi naona madhaifu ni mengi sana kuliko mafanikio.
 
Hebu fanya ku-act hapa jinsi ulivyokuwa unalia, yawezekana tukajua nn kilikuliza bwege wee
 
Back
Top Bottom