Ninayokutana nayo kwenye kitabu cha i can i will I must sjui kama Rais wangu alikisoma kitabu kabla ya kukizindua?

hahahahaha basi tuahadithie na sisi tulie...................mwanaume mzima una lia lia tuu kisa kitabu
 
badala ya kutueleza kimeandikwa nini unaleta porojo stupid kweli wewe

Endelea kulia ,ukichoka kulia ,tueleze alichosema Mzee Mengi kuhusu wanasiasa

Kwahiyo tusubiri umalize kulia utuelezee kilichoandikwa au?

Wewe ni mwanaume wa dar unaliaje kisa kitabu ambacho mengi mwenyewe ameandika kwa furaha ili ku motivate watu.

Mwenye nacho aniazime na mie nilie jamani!

Ili ulie?

Lia kwa nguvu basi na sisi tukusikie

wanaume wa dar mna vituko sana kitabu tu kinakuliza,mwingine alilia kisa kaambiwa aonyeshe vyeti tu

Kama ni kulia Raisi halii' Fikiri waliokufa kwa kufukuzwa kazi kisa walikosa cheti cha form 4 na wakamuacha anacheka.


Jamaa kweli kalia
 
Afu we nawe usitusumbue hapa kuja kutujambisha kila baada ya kusoma kurasa moja,no utoto huo!
 
Sasa unalialia nini...tueleze facts zilizomo we unatueleza umelia ....sasa tukufanyeje na kilio ni upumbavu wako.
 
Ndo kwanza nmefika ukurasa wa tano wa kitabu cha Marehemu mzee Wetu Reginard Mengi.

Nikili wazi kuwa nilitamani nisome kitabu hiki kabla ya kifo chake, ingawa nilikatishwa tamaa na lugha aliyoitumia mimi kwangu niliona kama ni changamoto.
Pili niliogopa kukinunua kitabu hicho nilijua ni kitabu ambacho kitanunuliwa na matajiri wenzake maana niliisi kitakuwa bei aghali sana.

Yote haya yamefutwa na Kifo cha mwandishi nikili kuwa naumia sanaa ninaposoma kitabu hiki ilihali mwandishi ameisha aga Maisha


Nikili kuwa,sio mara yangu ya kwanza kulia nikiwa nasoma vitabu vya namna hii,nakumbuka kwa mara ya kwanza nilisoma kitabu kimoja kizur sanaa kiliitwa SAFARI YA MWALIMU KATOTO kitabu hiki,nilikinunua kariakoo baada ya kukisoma nikagundua mwandishi alikuwa ni marehemu Babu yangu mzaa mama,kitabu hiki kilisheheni visa na mikasa ambavyo kwa sasa hatuwez pata waandishi kaka hao.

Kuusema ukweli,nimesoma kitabu cha i can i will i must,nmejikuta nalia na kilichoniliza sio kifo tu cha mwamdishi nimejiuliza na kulia je aliyekizindua alikisoma akaona mzee wetu Mengi alivyo usema ukweli dhidi ya wanasiasa?

Kiingereza kilikuwa changamoto!! Umekijuaje ghafla?

Au ulitaka kutuambia kuwa babu yako aliandika kitabu cha Safari ya mwalimu katoto
 
Back
Top Bottom