Ninayemdai amefariki na hatukuandikishana, nifanyaje?

Ninayemdai amefariki na hatukuandikishana, nifanyaje?

It's hard to authenticate if indeed it was the decedent who wrote them.

Because, what if it was someone else who was using his/ her phone to communicate?

Without knowing what they [the messages] say it's hard to give any proper advice really.
Ni ngumu! on the balance of probability si rahisi kusema msm zilitumwa na yeye, anybody can temper with his phone after death
 
kan ni sh ngap....??

OK Ukizpata ntafute twende Bar....!!!!

Waiter zungusha[emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Wakuu,

Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?[/QUOTE
je marehemu dini gani?, kama ni muislamu unawadai ndugu zake wanaruhusiwa kumlipia
 
Nenda katoe taarifa kwa ndgu zake kabla hjazikwa il wajue
 
Huwa inatokea. Nilikuwa na ka site kangu Morogoro. Majirani wote walionizunguka walishajenga. Jirani yangu wa ubavuni akapanda MIGOMBA ubavuni kwake.

MIGOMBA ile ikatambaa mpaka ktk site yng. Mimi sina habari, nipo chuo. Mara moja kwenda kutembelea kale ka site, nikakuta migomba imeingia hadi kwangu. Nikapanick. Kumuuliza, akantuliza kwa kusema yupo tayari kuifyeka migomba wakati wowote mi ntakapoona inafaa.

Kwa aibu, mbele ya mkewe na wanae, nikamuambia basi aiache tu, baadhi ilikuwa inakaribia kukomaa.

Ya Mungu mengi. Yule Mzee akafariki mimi nikiwa Chuo. Kwa ujirani mwema, nikatuma na ubani.

Baada ya msiba kupoa, nikaenda kuwaelewesha kwa upole kuhusu ile habari ya MIGOMBA. Sikuamini macho, maskio na akili yangu. Mke wa marehemu aliniruka. Akasema hajui na kwamba lile eneo Lao.
Ubinaadamu kazi
 
Samehe Mara saba sabini tu mkuu sasa kudai ndugu sikuwaongezea machungu. Fanya ka umetoa sadaka
 
Wakuu,

Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
Unatafuta matatizo .mwenzako kapoteza roho ya matrilion yuko amelala zake kimya ,wewe kupoteza hizo hela kidogo tuu .ambazo utatafuta tuu upate.unapiga kelele kila mtu ajue .vipi aise wewe [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
WAKATI WA KUZIKA ULIKUWRPO MAANA HUWA WANASEMAGA,"JE KUNA ANAYE MDAI MAREHEMU"MARA NYINGI WATU HUWA WANA UCHUNA WANAONA AIBU KUJITOKEZA..
LAKINI NJIA SAHIHI NI KUMSAMEHE MAREHEMU

OVA
Wakuu,

Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
 
Wana jf tunachangia hii mada japo hatujui kiasi gani jamaa anachodai.
 
Wakuu,

Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
Kama unaweza kumsamehe we msamehe deni lake hope litamweka huru huko aliko na ikawa ni sababu ya wengine kukusamehe na wew pia.
 
Una haki zote za kudai deni lako hao wanaosema sijui Marehemu kafa mara una roho mbaya haisaidii kitu,tena unaweza kuta Marehemu alikopa hela zako kwa ajili ya kufanyia miradi ya maendeleo na ameiacha kwa hiyo huwezi kunufaisha ndugu zake halafu wewe ukabaki masikini na laiti kama ingekuwa Marehemu ameondoka na Mali zake zote hapo sawa usingedai lakini kama Mali kaziacha na ndugu wanagawana na pengine hata kupigana na kuuana hapo lazima udai chako.
 
Kama ni kiasi kikubwa na familia yake iko vizuri, jaribu kuzungumza nao. Vinginevyo samehe tu
 
Wakuu,

Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
Nenda tu ukawadai ndugu zake utapewa tena fasta
 
Mahala pengine huwa wanuliza kama kuna mtu anamdai marehem,ila inataka moyo kunyosha mkono.Mi naona bora ukubali yaishe.
 
Back
Top Bottom