generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 444
- 707
Nina freezer. Naitumia kwa kuweka vinywaji ili viwe baridi ila kila baada ya mda nakuta maji mle ndani takriban 3L-4L na hakuna kinywaji chochote kilichovuja.
Sasa nikawaza hv nikiiacha mwezi 1 ikiwa on katika gear yake ya mwisho ni nini kitatokea?
📌 je maji yataongezeka kiasi kwamba naweza kuvuna hata liter 20
📌 kama ntavuna hayo maji je yatakuwa salama kwa matumizi
📌 au freezer inaweza ungua
📌 nini kinafanyika hadi hayo maji yapatikane wakati hamnamo chanzo cha maji ktk freezer
Nauliza tu...ili ikibidi nifanye huo utafiti ila nikiwa nishapata mawazo angalau toka kwa wadau