Ninayemdai amefariki na hatukuandikishana, nifanyaje?

Ninayemdai amefariki na hatukuandikishana, nifanyaje?

Samehe saba mara sabini mwenzio ameenda mbele za haki
 
Swali sawa unaweza ukawa unamdai ndio je unataka kulipwa au ujulikane km unamdai, na unafikili nani akulipe km alivyokua hai alishindwa kukulipa je ni vp akiwa amekufa, tumia busara mshukuru mungu kwa kila jambo
 
Kwa Mujibu wa Mafundisho ya Uislam kabla ya kuswaliwa Maiti itaulizwa Kama anadai au kudaiwa na hapo ndipo fursa yako ya kuwasilisha Madai yako halali kwa familia ya Marehemu
 
Wakuu,

Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
Subiri ukamdai mbele ya safari ukifika alikoenda
 
mkuu hapo inategemea busara na status yako,kama status siyo nzuri watakuhisi tapeli
 
Unaweza kumdai labda kama mirathi imetangazwa sms zitakusaidia kwa ushahidi ni Haki yako kudai.
 
Back
Top Bottom