chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Angalia comment za wana jamvi kwa umakini na ulete mrejesho.
YAKHE! kuna baadhi ya wanafamilia kwenye msiba huwa wanauliza kama kuna mtu alikuwa anamdai marehemu sasa kwa case yako kama unataka kukaza kaongee na wanafamilia ila yakhe! KAMA UNAWEZA KUISAME WE SAMEHE TU, ALLAH ATAKUPA KWA STYLE NYINGINE yakhee!Wakuu,
Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
YAKHE! ITAKUWA BUSARA UKATUPA NA MREJESHO KATIKA HILI HATA KAMA UKISAMEHE TUSHIRIKISHE PIA, SHUKRANIWakuu,
Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
Umetoa sadaka,roho yake bado ipo,ukimsemasema atakufanya vibaya,anakuona,humuoni.
Mangi, unamdai kiasi gani kwani?Wakuu,
Hivi kama ninaemdai amefariki na hatukuandikishiana popote wakati tunapeana pesa ila nina SMS zake tu. Je naweza kuwadai familia yake?
hata ingekuwa million 100Wana jf tunachangia hii mada japo hatujui kiasi gani jamaa anachodai.
Endelea basi baada kukuruka ili tujifunze wote na mtoa madaHuwa inatokea. Nilikuwa na ka site kangu Morogoro. Majirani wote walionizunguka walishajenga. Jirani yangu wa ubavuni akapanda MIGOMBA ubavuni kwake.
MIGOMBA ile ikatambaa mpaka ktk site yng. Mimi sina habari, nipo chuo. Mara moja kwenda kutembelea kale ka site, nikakuta migomba imeingia hadi kwangu. Nikapanick. Kumuuliza, akantuliza kwa kusema yupo tayari kuifyeka migomba wakati wowote mi ntakapoona inafaa.
Kwa aibu, mbele ya mkewe na wanae, nikamuambia basi aiache tu, baadhi ilikuwa inakaribia kukomaa.
Ya Mungu mengi. Yule Mzee akafariki mimi nikiwa Chuo. Kwa ujirani mwema, nikatuma na ubani.
Baada ya msiba kupoa, nikaenda kuwaelewesha kwa upole kuhusu ile habari ya MIGOMBA. Sikuamini macho, maskio na akili yangu. Mke wa marehemu aliniruka. Akasema hajui na kwamba lile eneo Lao.
Kumbe Wakati mwingine unajitambua...
Ova