Kuna mtu anataka kuniuzia haki ya kukaa kwenye nyumba ya NHC yani mpangaji huyu anataka kutoka kwenye nyumba hii sasa anahitaji nimpe mil 5 ili aniachie haki ya kuwa na mkataba wa kuwa mpangaji wa NHC , sasa wakuu mnaojua sheria naomba ushauri namna gani wa kutekeleza zoezi hili