La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,056
- 1,189
- Thread starter
- #21
Unashangaa mini my dear?Ndoa takatifu!!!??
Unashangaa mini my dear?Ndoa takatifu!!!??
Karibu ushuhudie..Barikiwanitarudi kwa ushauri zaidi baada ya kuishuhudia ndoa yako
Ipo siku atakuita mdiscas mambo yamtt wenu...ukikulilia mkumbushie utakuwa nauwezo wakuchomoa kwel?Sikumbuki tarehe..ila simpendi tena..ni zilipendwa kwa sasa