Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.

huyu jamaa , kova, zombe, mahita, said muovu( igp) , lazima siku ya kiama watajiju na moto wa milele
Alokuhadithia karuka Mengi!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Jack zoka vipi?Marando vipi?
Jack zoka vipi?
Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
kajitoa kwenye lile kundi lenu la mabwepandeBize ile mbaya. Marando Jee?
tupe nyingine basi mkuuKama info ulizonazo ni hizo tu basi wala humjui!
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
Tumechoka hizo blackberry bold 9700 sasa hivi kuna 9980 au hata i4n 4s