Ninavyomjua Hemedi Msangi

what goes up must come down.. Goes around come around. Ipo siku yake kabla muda wake haujaisha ktk ulimwengu huu!
 

Kama info ulizonazo ni hizo tu basi wala humjui!
 

Bado humjui Hemedi Msangi, hizi ni habari za kuambiwa tu.Tafuta habari vizuri.Habari za kuanzia kazi Arusha na Usa River halafu Morogoro ni sawa lakini tafuta habari zaidi
 

1.Baba yake amewahi kuwa rpc Arusha
2.Alianzia kazi ya polisi Arusha
3.Kasomea diploma ya sheria
4.Alianza kazi kituo cha Usariver
5.Baadae alihamisiwa Morogoro
Bado haumjui aisee
 

Mbona hajakamatwa yeye....Kova anatutajia 'Muhindi' wa Nyeri...uzushi mtupu...! Nadhani tunao viongozi wengi wanahitaji kupimwa akili...may be wao ndio Vic**aa!! kuliko huyo 'mkenya wao' waliomwandaa kwa kumkamata eti akatubu...shameless and poor Govt!
 
Naona huyu yuko juu ya sheria..
Haguswi.....!
Watu wanalalama akamatwe wapi?
 
Kova alieleza kilichotokea kuhusu mkenya kwenda kanisani na gwajima ameelezea kuhusu huyo mkenya kwenda kanisani kwake akaongezea maelezo ya kova.
 
Kova alieleza kilichotokea kuhusu mkenya kwenda kanisani na gwajima ameelezea kuhusu huyo mkenya kwenda kanisani kwake akaongezea maelezo ya kova.
 
Tusihukumu,tuchambue maelezo ya kova na ya gwajima,tuache ushabiki wa kijinga.
 
Ni ajabu na ni unafiki kutaka kila mtu afikirie jinsi unavotaka wewe.haiwezekani wote tuwe na mawazo sawa hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…