Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Sasa kama ana akili timamu si aanze zake aniache na aendelee na jamaa yake anayemjali na kumthamini? Wanawake wanapenda kudanganywa na kuiba hubbies wa watu
 
Mleta mada kama muwazi kuweka kinachoendelea mitaani kakiri udhaifu wake .tuijadili mada kwa pande zote,kwa upande wangu namshangaa huyu anayeng'ang'ania mume wa mtu na mtu wa kumuo kaja baada ya ya miaka mitatu atatafuta sababu ya kuwa single mother,ni rahisi kumtukana huyu jamaa lakin baadhi ya wadada wakaenda kufanya hujinga huu huu anao fanya mwenzao.

Mkuu uko sahihi. Sijisifii ila niko guilty na naomba ushauri. Imagine huyu jamaa mwenye upendo wa dhati kwa mchepuko wangu angekuwa ni mimi? Najisikia vibaya lakini huyu mrembo kaniganda na anajua mimi ni hubby wa mtu lakini hajali
Wanawake hawaishi kunishangaza
 
Naona hofu ya mungu inazid kuporomoka kwa kasi kila kukicha.

Hata wale tuliotegemea waikomboe jamii ndo kwanza wanazid kupotea. Kazi ipo
 
Dhambi inapofusha macho,lakini kwa hakika dhambi inaua,inabidi uache sasa na utubu urejee kwa Mungu wako
 
Hua haheshimu wanawake huyu mtu,na anapenda generalization sana ndio maana nimemjibu hivyo, he is so bitter with women kama vile alitupwa chooni alivyozaliwa
Yaan hilo bao lililopelekea wewe ukazaliwa bora lingemwagwa nje
 
Kuwa mvumilivu mkuu. Papa ata badilisha sheria ya ndoa soon na utamuo huyo mchepuko.
 
My b ukimwi..
Ila mambo ya dhambi sijui nn....hivyo vitisho tuu hakuna kitu dhambi ila n vema kutenda mazur

Huyu girl mpe fact na vema ukamweleza nia yako kuwa mm napenda kukumega tuu ila kuhusu upendo hakuna ukweli hapo...so ajipange kwa future yake baadae...


Blv in good not god
Godless and happy
 
Ndo maana wanawake wake zenu wakiamua kuchepuka nao mnabaki kutokwa na mapovu mdomoni ninyi ndo mnawafanya nao wafanye vitu ambavyo sivyo unajisifia kabisa unamichepuko mitatu so what? Tukupigie makofi? I wish wewe ndo ungekua Mme mmoja wapo wa wale wadada walio pewa mimba na x - bwana zao.ili game iwe ngoma draw.
 
Ndo maana wanawake wake zenu wakiamua kuchepuka nao mnabaki kutokwa na mapovu mdomoni ninyi ndo mnawafanya nao wafanye vitu ambavyo sivyo unajisifia kabisa unamichepuko mitatu so what? Tukupigie makofi? I wish wewe ndo ungekua Mme mmoja wapo wa wale wadada walio pewa mimba na x - bwana zao.ili game iwe ngoma draw.

Mimi ni mume wa mtu nina mke Na familia yangu. Analijua hilo. Kama kuna mtu kajitokeza na ana upendo wa dhati kwake basi Ni jukumu lake kufanya maamuzi. Atajiju mwenyewe
 
A man in his late thirties, boasting himself of screwing multiple women, instead of working hard to raise his two beautiful kids in the right way...
Watoto wakiharibika unaanza lawama. Hilo sio la kujisifu, unadhalilisha walio kwenye age group ya thirties.

I work hard
I play hard
 
Hapo anakupa presha ili aone kama uko serous kuoa au la, hata hivyo wewe hufai, utampelekea mkeo ukimwi bure
 
Back
Top Bottom