Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Hivi wewe unaesema akili zao za kuvukia balabala za kwako make kuunganisha watu wote hao akiwemo mke wako una huruma na watoto wako huogopi ukimwi unapotukana wanawake hivo unamtukana na mama ako akili yako ni ya kuvukia mtaro tu huna jipya
We punguani, na akili yako fupi

Mtu kama anachepuka na anajali afya yake tatizo liko wapi? Wewe ndo upo kwenye hatari zaidi kuambukizwa maana ukishatanua miguu akili zako zinaganda

Bora mtaro, naweza kuuvuka kinyumenyume

Wewe huwezi kujilinganisha na wanaume hata siku moja, maana sisi hatujaumbwa kwa ajili yenu ilhali nyie mliumbwa kwa ajili yetu. Upoo?
 
Wote wawili wanamakosa hasa hasa mwanaume kwasababu ndo alie mfata na kumdanganya.....na uku anajua live kuwa anamwongopea nq mdada nae anamakosa kwasababu kakubali kudinyika na mme wa mtu....

hahaaaa kudinyika
 
Km wauhitaji huo mkia sema, na km wahitaji kuwa mchepuko wangu be free
Mapovu yalikuwa yanakutoka kwa nini sasa? kama sio kwamba na wewe naye ni mchepuko wa mtu, na umemganda na jamaa anajisifia huko jinsi ambavyo anakuchezea

Btw, huo mkia wako ni tepe mno kama la kichina, nina alergy nayo
 
Oooh hata km, niliamua mwenyewe, kwa akili zangu timamu, kuwa mchepuko wa MTU,

huyo mwenzio uno mtetea ni mshenzi alotukuka, mwenye akili zake hawezi leta upuuzi km huo hapa, VIP mkewe nae km ni mchepuko, dada zake???? Ana uhakika gani km yy ni mtoto halali wa baba yake, km mama yake alikuwa mchepuko akapatika yy??? Binadamu wa sasa wamekuwa wa hovyo
 
A man in his late thirties, boasting himself of screwing multiple women, instead of working hard to raise his two beautiful kids in the right way...
Watoto wakiharibika unaanza lawama. Hilo sio la kujisifu, unadhalilisha walio kwenye age group ya thirties.
 
ushauri Mchepuko sio kabisa baki njia kuu ukimwi upo
 
Oooh hata km, niliamua mwenyewe, kwa akili zangu timamu, kuwa mchepuko wa MTU,

huyo mwenzio uno mtetea ni mshenzi alotukuka, mwenye akili zake hawezi leta upuuzi km huo hapa, VIP mkewe nae km ni mchepuko, dada zake???? Ana uhakika gani km yy ni mtoto halali wa baba yake, km mama yake alikuwa mchepuko akapatika yy??? Binadamu wa sasa wamekuwa wa hovyo
Kwahy yawezekana umeumia kwa sababu haupo tofauti na mchepuko wa jamaa

Mleta mada ana michepuko minne tu na mmoja kati yao anafukuziwa na mshkaji alie serious. Kaomba ushauri, upuuzi upo wapi hapo? Hayo maswali yako mengine ni irrelevant

Wanawake wa sasa mna akili za kuvukia barabara
 
km za kwako
 
We ni mjinga sana, we unavyotafuta wanaume wa kukuhongwa hela ya sikukuu unajiona mjanja.

Kachukue malimao ule. Tena kimbia

Mwanaume mzima atakaaje na mwanamke mmoja?? Nyie si mnapenda hela? habari ndo hiyo, mtabaki kuwa michepuko tu

Dah! Hii Ni kali
 
Kwahy yawezekana umeumia kwa sababu haupo tofauti na mchepuko wa jamaa

Mleta mada ana michepuko minne tu na mmoja kati yao anafukuziwa na mshkaji alie serious. Kaomba ushauri, upuuzi upo wapi hapo? Hayo maswali yako mengine ni irrelevant

Wanawake wa sasa mna akili za kuvukia barabara

Wanawake wana akili za kuvukia barabara????
 
We punguani, na akili yako fupi

Mtu kama anachepuka na anajali afya yake tatizo liko wapi? Wewe ndo upo kwenye hatari zaidi kuambukizwa maana ukishatanua miguu akili zako zinaganda

Bora mtaro, naweza kuuvuka kinyumenyume

Wewe huwezi kujilinganisha na wanaume hata siku moja, maana sisi hatujaumbwa kwa ajili yenu ilhali nyie mliumbwa kwa ajili yetu. Upoo?

The Boss njoo uamue
 
Back
Top Bottom