Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

endelea kuchepuka tu. soon ukipima HIV. ndo utajua ladha chungu na tamu ya kuchepuka. all the best
 
ww mwambie huyo jamaa anaetaka kumuoa huyo mchepuko wako kuwa huyu demu ana ukimwi jamaa ataacha kumfukuzia ila nakushauri uache kuchepuka coz unaziba ridhiki za watu
 
Hah hah hah unajua kama unaropoka tu na gazeti zima ulioandika ni utumbo mtupu. Yan niwe na wivu na gold digger? naanzaje labda, halafu ulivyo na akili fupi, laki mbili unaona nyingi na unatangaza mtaa mzima. Kilichokufanya utukane ni nini? kama sio kwamba imekuuma kwa sababu we naye ni mchepuko wa mwenye michepuko anaejisifia.

Sikufuatilii ila nimekumbuka tu kwamba ulianzisha uzi wa kutafuta mwanaume wa kukuhonga na sio bf wako kama unavyosisitiza hapo. Nway zile ni stori za JF, so, siwezi kukufuatilia, please, labda nimfuatilie Lizzlyn mwenye mvuto maana wewe unaweza kuwa ni mbibi, bonge, sura ngumu, kimbaumbau, kichwa kikubwa, miguu fito, maziwa ndala, sura mbaya, dada mawigi, meno zigzag n.k vitu nilivyo na alergy navyo.

ahaaaaa loh jf tungekuwa tunajuana face 2 face leo lisura lako na vipua vifupi vya kibantu, ungejificha chooni.(gavunemuheto) I wish u know me, hatuko kwenye mashindano endelea kutukana.ila sikulaumu wabatu/ ABIIRU ndivyo mlivyo.

Asprin pita huku uone huyu sonko jr alivyojitoa akiri kwa watu asiowajua ili aonekane kinara jf.

Cc asprin.
 
Last edited by a moderator:
Anajishaua tu hapa wakati mkewe ni mchepukaji mzuri tu na mbaya zaidi anaechepuka nae unamjua.
Ovyooo
 
Lengo langu sio kujisifia.
Nahuznika tu na huyu jamaa mweny kumpenda hu mchpko wangu kwa dhai ambavyo anamjali na kumthmini lakini uu mchepuko roho yote iko kwangu.
Eventually ntamtosa tu aache kuiba waume za watu
usimpe hela uone kama ajamkubalia mchumba
 
This is i hate wanaume.... What goes around comes back around.... Kiaz wew
 
Back
Top Bottom