ZaBeast
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 777
- 332
Nashukuru kwa ushauri na nitalifanyia kazi mkuu
Karibu saana mkuu...
Uwe na amani..
Time will give you right answers!
Nashukuru kwa ushauri na nitalifanyia kazi mkuu
Mabibi na mabwana,
Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine wengine mkajifunza.
Mimi ni kijana in my late thirties nimeoa kwa ndoa yakanisani na nimebahatika kupata watoto wawili na mke wangu. Tunaishi Sinza nafuraha.
Ninafanya kazi kwenye shirika moja la mafuta naalhamdulillahi maisha yangu sio mabaya. Mwaka jana nilikutana na kimwana mmojaambae ni mzuri sana na baada ya purukushani za miezi kadhaa akanasa kwenyemtego wangu.
Nilimweleza ukweli kuwa nimeoa na nina familia ila sinafuraha katika ndoa yangu. Pili nimeoa huyu mke kwaajili ya wazazi wangu sababuwalitaka nimwoe hivyo kwa kuwaridhisha ndio maana niko nae.
Bibie akaniamini na akaingia kingi. Nakula mzigo kamamchepuko kwa raha zangu. Kinachoniuma maskini kuna njemba amejitokeza na anataka kumwoa huu mchepuko na bibie hataki!!!
Najisikia vibaya sana kwa sababu jamaa anampenda huyu mchepuko kwa dhati na mimi nampotezea muda wake tu na huku nina michepuke mingine mitatu zaidi yake.
Wapendwa nishaurini nifanyaje sababu napenda kuendelea kula tunda la huu mchepuko na wakati huo huo siwezi kumwacha mke wangu wa ndoa.
Najisikia guilty pia jamaa wa watu anavyohangaika kumtongoza huu mchepuko wangu na najisikia huruma sana.
Wanawake: ASIKUONGOPEE MTU. LOVE OVERCOMES? LOVE RISKS ANYTHING??? TUKIWAAMBIA TUMEOA KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAZAZI TUNAWAONGOPEA MCHANA KWEUPEE. KAMA KWELI NINAMPENDA KWA DHATI HUU MCHEPUKO BASI NINGEMWACHA MKE WANGU NA KUWA NA HUU MCHEPUKO. Wakati mwingine nimeanza kuamini kuwa wanawake ni viumbe wa kudanganywa na kuchezewa.
Wenu,
Mzee wa michepuko
Kwahy yawezekana umeumia kwa sababu haupo tofauti na mchepuko wa jamaa
Mleta mada ana michepuko minne tu na mmoja kati yao anafukuziwa na mshkaji alie serious. Kaomba ushauri, upuuzi upo wapi hapo? Hayo maswali yako mengine ni irrelevant
Wanawake wa sasa mna akili za kuvukia barabara
Including your mother and your sisters
Ni kweli but tamaa za mwili tu dada ukweli najisikia vibaya
Hah hah hah unajua kama unaropoka tu na gazeti zima ulioandika ni utumbo mtupu. Yan niwe na wivu na gold digger? naanzaje labda, halafu ulivyo na akili fupi, laki mbili unaona nyingi na unatangaza mtaa mzima. Kilichokufanya utukane ni nini? kama sio kwamba imekuuma kwa sababu we naye ni mchepuko wa mwenye michepuko anaejisifia.hivi nilikulazimisha kucoment uzi wangu?kwenye ile coment kuna sehemu nilisema nahongwa na mme wa mtu? Bf ndo ananipa hivyo vyote na namfanyia kila kitu .Unawashwa nini mbona umenifatilia sana as if tunashare aridhi? What a shame? Sikujui hunijui plz achana na mimi niache kama unatafta umaarufu jf join vyama vya wanawake wakizalamo uanze kuchamba maana unajizalilisha dume zima unafatilia coment yangu as if wewe ni bf wangu? Hela anayonipa inakuuma nini? Na sasa hivi katuma laki mbili kunywa sumu ya panya pliz naomba uachane na mimi kama una shida ya hela sema? Au jigeuze mwanamke uhongwe. Mimi naongwa kwa sababu nina sifa za kuhongwa na si mwingine ni bf wangu kama unamtaka sema nikupe. Mambo yakufatiliana kisa nilisema nitakayomfanyia sikukuu wewe yanakuuma nini? plz niache usinifatilie nyuma kama kumbikumbi. Wanaume wote wa jf walisoma na kupita wewe ndo ikakuuma kiasi hicho? Ebu sema hapa kama nilisema natafta mwanaume? Nilisema jinsi ninavyo mcare bf na hela anazonipa basi lakini hata nikitafta sizani kama wewe unaweza kuwa type yangu! Wivu umekuzidi plz nilikupiga stop kucoment coments zangu lakini bado unanifata plz niache nipumue njaa zako zipeleke huko kama inakuuma jigeuze uhongwe ili ufurahi usinishushie heshima plz jf kuna watu wananijua tunaheshimiana. Wewe kama una li gf ambalo halikuhudumii na huna hela ya kumpa acha luckyline nimuhudumie nitakaempenda na anipe chochote apendacho coz nakizi vigezo. Ninakuomba kuanzia leo usijaribu ku coment kwenye coments zangu. Ehee ya nini tukabane mitandaoni hatujuani? Kwa taarifa yako mme manjari mpaka nambeba ngongoni namuogesha amekaa kwenye kiti hata chakula nampakata kama mtoto. Na hela napewa bureeee pasuka tuone.Toa wivu wa kike.
Mnashangaza sana nyie wanawake wa humu mlivyo na akili fupi, mkipondwa mnajilinganisha na mama zetu!! Nway ngoja nikusamehe maana we naye ni walewaleIncluding your mother and your sisters
Mnashangaza sana nyie wanawake wa humu mlivyo na akili fupi, mkipondwa mnajilinganisha na mama zetu!! Nway ngoja nikusamehe maana we naye ni walewale
Mama yake hawezi kuwa mwanamke wa "sasa". Tujaribu kuwaweka kando wazazi wetu kwenye mihemko yetu. Tuwaheshimu wazazi wetu.... hawahusiki kwa lolote na haya maupuuzi ya humu.
Hua haheshimu wanawake huyu mtu,na anapenda generalization sana ndio maana nimemjibu hivyo, he is so bitter with women kama vile alitupwa chooni alivyozaliwa