Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

chepuka tu. Mabega yakipanda juu mwili chini tutakupa mbinu za kuishi kwa matumaini.
 
A man in his late thirties, boasting himself of screwing multiple women, instead of working hard to raise his two beautiful kids in the right way...
Watoto wakiharibika unaanza lawama. Hilo sio la kujisifu, unadhalilisha walio kwenye age group ya thirties.

Bora mumwambie....
 
We ni mjinga sana, we unavyotafuta wanaume wa kukuhongwa hela ya sikukuu unajiona mjanja.

Kachukue malimao ule. Tena kimbia

Mwanaume mzima atakaaje na mwanamke mmoja?? Nyie si mnapenda hela? habari ndo hiyo, mtabaki kuwa michepuko tu

hivi nilikulazimisha kucoment uzi wangu?kwenye ile coment kuna sehemu nilisema nahongwa na mme wa mtu? Bf ndo ananipa hivyo vyote na namfanyia kila kitu .Unawashwa nini mbona umenifatilia sana as if tunashare aridhi? What a shame? Sikujui hunijui plz achana na mimi niache kama unatafta umaarufu jf join vyama vya wanawake wakizalamo uanze kuchamba maana unajizalilisha dume zima unafatilia coment yangu as if wewe ni bf wangu? Hela anayonipa inakuuma nini? Na sasa hivi katuma laki mbili kunywa sumu ya panya pliz naomba uachane na mimi kama una shida ya hela sema? Au jigeuze mwanamke uhongwe. Mimi naongwa kwa sababu nina sifa za kuhongwa na si mwingine ni bf wangu kama unamtaka sema nikupe. Mambo yakufatiliana kisa nilisema nitakayomfanyia sikukuu wewe yanakuuma nini? plz niache usinifatilie nyuma kama kumbikumbi. Wanaume wote wa jf walisoma na kupita wewe ndo ikakuuma kiasi hicho? Ebu sema hapa kama nilisema natafta mwanaume? Nilisema jinsi ninavyo mcare bf na hela anazonipa basi lakini hata nikitafta sizani kama wewe unaweza kuwa type yangu! Wivu umekuzidi plz nilikupiga stop kucoment coments zangu lakini bado unanifata plz niache nipumue njaa zako zipeleke huko kama inakuuma jigeuze uhongwe ili ufurahi usinishushie heshima plz jf kuna watu wananijua tunaheshimiana. Wewe kama una li gf ambalo halikuhudumii na huna hela ya kumpa acha luckyline nimuhudumie nitakaempenda na anipe chochote apendacho coz nakizi vigezo. Ninakuomba kuanzia leo usijaribu ku coment kwenye coments zangu. Ehee ya nini tukabane mitandaoni hatujuani? Kwa taarifa yako mme manjari mpaka nambeba ngongoni namuogesha amekaa kwenye kiti hata chakula nampakata kama mtoto. Na hela napewa bureeee pasuka tuone.Toa wivu wa kike.
 
Mabibi na mabwana,

Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine wengine mkajifunza.

Mimi ni kijana in my late thirties nimeoa kwa ndoa yakanisani na nimebahatika kupata watoto wawili na mke wangu. Tunaishi Sinza nafuraha.

Ninafanya kazi kwenye shirika moja la mafuta naalhamdulillahi maisha yangu sio mabaya. Mwaka jana nilikutana na kimwana mmojaambae ni mzuri sana na baada ya purukushani za miezi kadhaa akanasa kwenyemtego wangu.

Nilimweleza ukweli kuwa nimeoa na nina familia ila sinafuraha katika ndoa yangu. Pili nimeoa huyu mke kwaajili ya wazazi wangu sababuwalitaka nimwoe hivyo kwa kuwaridhisha ndio maana niko nae.

Bibie akaniamini na akaingia kingi. Nakula mzigo kamamchepuko kwa raha zangu. Kinachoniuma maskini kuna njemba amejitokeza na anataka kumwoa huu mchepuko na bibie hataki!!!

Najisikia vibaya sana kwa sababu jamaa anampenda huyu mchepuko kwa dhati na mimi nampotezea muda wake tu na huku nina michepuke mingine mitatu zaidi yake.

Wapendwa nishaurini nifanyaje sababu napenda kuendelea kula tunda la huu mchepuko na wakati huo huo siwezi kumwacha mke wangu wa ndoa.

Najisikia guilty pia jamaa wa watu anavyohangaika kumtongoza huu mchepuko wangu na najisikia huruma sana.

Wanawake: ASIKUONGOPEE MTU. LOVE OVERCOMES? LOVE RISKS ANYTHING??? TUKIWAAMBIA TUMEOA KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAZAZI TUNAWAONGOPEA MCHANA KWEUPEE. KAMA KWELI NINAMPENDA KWA DHATI HUU MCHEPUKO BASI NINGEMWACHA MKE WANGU NA KUWA NA HUU MCHEPUKO. Wakati mwingine nimeanza kuamini kuwa wanawake ni viumbe wa kudanganywa na kuchezewa.

Wenu,

Mzee wa michepuko

You real stupid son of a bitch yaani unajisifia kumpotezea mtu muda wake uigopi ata mungu mother *** alafu unatupa huku ukiona kama ni bonge la uzi El puta Madre
 
Wa kulaumiwa hapa ni wadada zetu. Hivi kajitokeza mtu anakujali na kukuheshimu alafu bado unaendelea kupanua miguu kama mchepuko ?
 
Heko Endelea siku ukipata ukimwi wewe, michepuko yako na mkeo uje hapa tukupe ushauri watoto wenu wataishije baada ya nyie kufariki dunia...stupid man. Unaona sifa kumbe mjinga flani tu amaizing.. Yan mimi na muona mwanaume mjanja ni yule ana mke na watoto wake halafu anafight kuwapa maisha mazuri mke na watoto...without lies an za kuanza kurukaruka na michepuko hizo ni akili za kitoto ulitakiwa ufanye hayo wakati wa ujana..ukishaitwa wewe ni baba its blessing..Lakini wewe ni Baba usiyena akili..hivi hamuoni raha familia kama za kina Baraka shelukindo au Mabeste wanavyoishi . Kuna vitu hata sio vya kujisifia kwenye public hasa unapokuwa baba wa familia fulani halafu unaendekeza uzinzi ...naona huruma kwa mke na watoto wamekosa baba mwenye upendo na familia muda ambao anatumia na vimada angetoka hata na familia au hata kuwaambia familia how proud he is to be a great dady n how he loves them...wanaume wengine wajinga sana..😕
 
Na siku mke wako akija kugundua huo ushenzi wako...ndio mwanzo wa amani na baraka kuondoka ndani ya familia na migogoro isiyoisha watu wengine happy marriage n couple mtaishia kuzisikia kwa majirani tu maana me shindwa kujiheshimu na kuheshimu ndoa zenu. Itafika mahali kila unachofanya hutafanikiwa ogopa machozi ya mwanamke ambaye aliacha watu wote akabaki na wewe ili mjenge familia..halafu unafanya uzinzi nje na ukirudi nyumbani unaenda una do nae tena.... Mungu akuepusha na ukimwi na watoto wa nje...
 
Heko Endelea siku ukipata ukimwi wewe, michepuko yako na mkeo uje hapa tukupe ushauri watoto wenu wataishije baada ya nyie kufariki dunia...stupid man. Unaona sifa kumbe mjinga flani tu amaizing.. Yan mimi na muona mwanaume mjanja ni yule ana mke na watoto wake halafu anafight kuwapa maisha mazuri mke na watoto...without lies an za kuanza kurukaruka na michepuko hizo ni akili za kitoto ulitakiwa ufanye hayo wakati wa ujana..ukishaitwa wewe ni baba its blessing..Lakini wewe ni Baba usiyena akili..hivi hamuoni raha familia kama za kina Baraka shelukindo au Mabeste wanavyoishi . Kuna vitu hata sio vya kujisifia kwenye public hasa unapokuwa baba wa familia fulani halafu unaendekeza uzinzi ...naona huruma kwa mke na watoto wamekosa baba mwenye upendo na familia muda ambao anatumia na vimada angetoka hata na familia au hata kuwaambia familia how proud he is to be a great dady n how he loves them...wanaume wengine wajinga sana..😕

Wanawake wengine nao pia ni wajinga sana yaani kuna mtu kajitokeza anampenda na kumthamini yeye bado anaiba mume wa watu. Kha!
 
Ukiona mwanamke wa hivyo ni mjinga asiyejielewa, hajiamini na hana msimamo katika maisha yake. Ukishaona mwanaume ameoa wewe wa nini..kwanini ukae usubiri for less wakati u can have plentyy ...au mwanaume kazaa na wanawake mbalimbali na wewe unajiingiza humo ili iweje.. Unapenda baby mama dramas kama kwa wengine ilishindikana wewe unalipi jipya.. I wonder nowdays rate ya single moms inakuwa kwa hali ya juu sana... Most of them unakuta hawana elimu au biashara au chanzo kizuri cha kumuingizia pesa na ukiona mwanaume wa hivyo kagandwaa ujue ana pesa...akili kwa kichwaa..
 
Big Up Mchepuko ongeza totoz kula ujana na ujue na mke wako wanamfanya kama unavyo wafanya..Hawa viumbe ni rahisi kuwadanganya lakini ni rahisi kukuua ndani ya masaa machache..na usidanganyike ukiwaacha watakuacha kirahisi mpaka walipize...
 
Ukiona mwanamke wa hivyo ni mjinga asiyejielewa, hajiamini na hana msimamo katika maisha yake. Ukishaona mwanaume ameoa wewe wa nini..kwanini ukae usubiri for less wakati u can have plentyy ...au mwanaume kazaa na wanawake mbalimbali na wewe unajiingiza humo ili iweje.. Unapenda baby mama dramas kama kwa wengine ilishindikana wewe unalipi jipya.. I wonder nowdays rate ya single moms inakuwa kwa hali ya juu sana... Most of them unakuta hawana elimu au biashara au chanzo kizuri cha kumuingizia pesa na ukiona mwanaume wa hivyo kagandwaa ujue ana pesa...akili kwa kichwaa..

Huyu ana masters degree
 
Mabibi na mabwana,

Ni matumaini yangu hamjambo. Kuna hii drama inaendeleakatika maisha yangu na leo hii nimefikiria sana na kuamua kuanika ukweli hapajamvini ili nisikie maoni yenu nap engine wengine mkajifunza.

Mimi ni kijana in my late thirties nimeoa kwa ndoa yakanisani na nimebahatika kupata watoto wawili na mke wangu. Tunaishi Sinza nafuraha.

Ninafanya kazi kwenye shirika moja la mafuta naalhamdulillahi maisha yangu sio mabaya. Mwaka jana nilikutana na kimwana mmojaambae ni mzuri sana na baada ya purukushani za miezi kadhaa akanasa kwenyemtego wangu.

Nilimweleza ukweli kuwa nimeoa na nina familia ila sinafuraha katika ndoa yangu. Pili nimeoa huyu mke kwaajili ya wazazi wangu sababuwalitaka nimwoe hivyo kwa kuwaridhisha ndio maana niko nae.

Bibie akaniamini na akaingia kingi. Nakula mzigo kamamchepuko kwa raha zangu. Kinachoniuma maskini kuna njemba amejitokeza na anataka kumwoa huu mchepuko na bibie hataki!!!

Najisikia vibaya sana kwa sababu jamaa anampenda huyu mchepuko kwa dhati na mimi nampotezea muda wake tu na huku nina michepuke mingine mitatu zaidi yake.

Wapendwa nishaurini nifanyaje sababu napenda kuendelea kula tunda la huu mchepuko na wakati huo huo siwezi kumwacha mke wangu wa ndoa.

Najisikia guilty pia jamaa wa watu anavyohangaika kumtongoza huu mchepuko wangu na najisikia huruma sana.

Wanawake: ASIKUONGOPEE MTU. LOVE OVERCOMES? LOVE RISKS ANYTHING??? TUKIWAAMBIA TUMEOA KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA WAZAZI TUNAWAONGOPEA MCHANA KWEUPEE. KAMA KWELI NINAMPENDA KWA DHATI HUU MCHEPUKO BASI NINGEMWACHA MKE WANGU NA KUWA NA HUU MCHEPUKO. Wakati mwingine nimeanza kuamini kuwa wanawake ni viumbe wa kudanganywa na kuchezewa.

Wenu,

Mzee wa michepuko

The bizarre....
The Brutal!

Kweli wewe vuvuzela.....
Kwanini usingekaa kimya na mpango huu?

Ukweli hii ni personal story watu wana share katika falagha zao boss
 
JF where we dare talk .......
 
Nipe ushauri hapa live mkuu

Okay hiyo mbaya mkuu...

Ni kitu si safi kufanya inachafua roho...

Natumaini una amini katika Mungu na uumbaji.

Lakini tumepewa free will....

Bado unayo nafasi mkuu tizama upya na ufanye tafakari juu ya hiko mkuu!
 
Nashukuru kwa ushauri na nitalifanyia kazi mkuu
 
Back
Top Bottom