Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Dah..Nina hasira nashindwa hata nicomment nini but u will get what u deserve soon!
 
hayo maneno uliyomalizia ungemtumia huyo mchepuko wako ungekuwa umemsaidia mno
 

Kwenye tongozo yako ulimwambia unafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta au hii ni janjajanja yako ili ukamate kademu kengine kajingakajinga hapa MMU??
 
Acha uzinzi maana mungu wa mbinguni hapendi ukikaidi utakja pata madhara makubwa katka familia yako ndg
 

Including your mother and your sisters
 
Including your mother and your sisters

Mama yake hawezi kuwa mwanamke wa "sasa". Tujaribu kuwaweka kando wazazi wetu kwenye mihemko yetu. Tuwaheshimu wazazi wetu.... hawahusiki kwa lolote na haya maupuuzi ya humu.
 
Ni kweli but tamaa za mwili tu dada ukweli najisikia vibaya

Unajisikiaje vibaya kuwahudumia watoto wa mwanamme mwenzio. Usipofanya hivyo hawa wanawake weeengi lukuki mtaani watatiije kiu yao?? Usisahau madogo wengi siku hizi chipsi yai zimewavunjia uanaume wao.

Tuungane pamoja kuwahudumia wanawake wasio na wanaume.
 
Hah hah hah unajua kama unaropoka tu na gazeti zima ulioandika ni utumbo mtupu. Yan niwe na wivu na gold digger? naanzaje labda, halafu ulivyo na akili fupi, laki mbili unaona nyingi na unatangaza mtaa mzima. Kilichokufanya utukane ni nini? kama sio kwamba imekuuma kwa sababu we naye ni mchepuko wa mwenye michepuko anaejisifia.

Sikufuatilii ila nimekumbuka tu kwamba ulianzisha uzi wa kutafuta mwanaume wa kukuhonga na sio bf wako kama unavyosisitiza hapo. Nway zile ni stori za JF, so, siwezi kukufuatilia, please, labda nimfuatilie Lizzlyn mwenye mvuto maana wewe unaweza kuwa ni mbibi, bonge, sura ngumu, kimbaumbau, kichwa kikubwa, miguu fito, maziwa ndala, sura mbaya, dada mawigi, meno zigzag n.k vitu nilivyo na alergy navyo.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada kama muwazi kuweka kinachoendelea mitaani kakiri udhaifu wake .tuijadili mada kwa pande zote,kwa upande wangu namshangaa huyu anayeng'ang'ania mume wa mtu na mtu wa kumuo kaja baada ya ya miaka mitatu atatafuta sababu ya kuwa single mother,ni rahisi kumtukana huyu jamaa lakin baadhi ya wadada wakaenda kufanya hujinga huu huu anao fanya mwenzao.
 
Mnashangaza sana nyie wanawake wa humu mlivyo na akili fupi, mkipondwa mnajilinganisha na mama zetu!! Nway ngoja nikusamehe maana we naye ni walewale

Povu limeanza kukutoka enh?chukua beseni uliweke litakusaidia kuloweka nguo badae
 
Mama yake hawezi kuwa mwanamke wa "sasa". Tujaribu kuwaweka kando wazazi wetu kwenye mihemko yetu. Tuwaheshimu wazazi wetu.... hawahusiki kwa lolote na haya maupuuzi ya humu.

Hua haheshimu wanawake huyu mtu,na anapenda generalization sana ndio maana nimemjibu hivyo, he is so bitter with women kama vile alitupwa chooni alivyozaliwa
 
What cokes around goes around....
 
Hua haheshimu wanawake huyu mtu,na anapenda generalization sana ndio maana nimemjibu hivyo, he is so bitter with women kama vile alitupwa chooni alivyozaliwa

Kosa halipaswi kulipiwa na kosa. Live our parents alone, please. Tutukanane sisi kwa sisi....

Tuwaacheni tu wazazi wetu wapumue.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…