Business ethics muhimu. M-pesa unawajibika kutoa ukweli wote. Maeneo ya Mbutu yako kwenye mradi wa kigamboni city na wizara ya ardhi imeshapeleka taarifa kwa wakazi kupitia ofisi ya mkuu wa wilaya ya temeke kuwa anytime from now shughuli ya tathmini ya mali zilizopo itaanza ili walipwe fidia na ardhi igawiwe viwanja.kama mtu atakubali kununua maeneo hayo ajiandae na hali hii.