Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,743
Ninauza RICE COOKER ni mpya kabisa na unaweza kupikia wali kuanzia robo kilo hadi kilo 6 inapika yenyewe huku ukiwa unaendelea na kazi nyingine ikiivisha inajizima na wali unakua mtamu zaidi ya unaoupika! ndani ya nusu saa tu unakula pia ina sehemu ya kupikia mboga za majani ni mpya haitumii umeme mwingi inawafaa sana watu wa nyumbani mahotelini wanafunzi/chuo na watu wanaoishi getto bei ni rahisi na ntakuletea hadi ulipo 0658825141 0767279713