Ninauza HTC one M7

Ninauza HTC one M7

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Ninauza htc one M7 used with camera issue kwa bei ya laki mbili tu. Ninaiuza bei chee sababu kwenye giza camera yake ya nyuma inakuwa na rangi ya pink.Tofauti na hapo simu iko safi na iko intact haijawahi kufunguliwa.

Note: Sijawahi kuipeleka wa fundi so sijui kama inapona ama haiponi hilo tatizo la camera. Cheki picha ukipenda njoo tuongee 0656497469
 

Attachments

  • 1443597844296.jpg
    1443597844296.jpg
    32.2 KB · Views: 308
  • 1443597855733.jpg
    1443597855733.jpg
    28.1 KB · Views: 284
  • 1443597867925.jpg
    1443597867925.jpg
    19.6 KB · Views: 290
mkuu nakupa laki inawezekana
 
Nashukuruni kwa ofa zenu na zote ni pesa ila mko chini........kama mnaweza kusogeasogea then tutafanya biashara
 
vp mchana kamera ? 150kg

Hapana mkuu simu ni original kabisa na haijawahi kufunguliwa,ni kwamba tu ukiwa kwenye mwanga hafifu camera inakuwa inaonesha kama rangi ya pink isiyokolea......kama kweli unaitaka hii simu my final price ni 180
 
Ni HTC One M7 original au clone ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom