HTC one M7 boxed original 32GB, Unlocked

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302
Nauza simu yangu HTC one M7 unlocked, imetumika kama miezi 4 iko katika hali nzuri sana screen protector, haina mchubuko. Ipo kwenye cover ya aina ya otter. Bei laki tatu na nusu. Niko Dar. 0672156295, Karibuni.
 
Nafahamu ndugu. Ndani ya box lake na accessories kamili. Simu imeshauzwa in less than half an hour. People know the good deal and act fast.
 
Nauza simu yangu HTC one M7 unlocked, imetumika kama miezi 4 iko katika hali nzuri sana screen protector, haina mchubuko. Ipo kwenye cover ya aina ya otter. Bei laki tatu na nusu. Niko Dar. 0672156295, Karibuni.

Unaposema BOXED haimaanishi kwamba ipo katika hali nzuri , bali humaanisha kwamba Ni BRAND NEW and UNBOXED. sasa kwa mtindo huu mzaha hautaisha humu jukwaani, ukileta tangazo ukafanyiwa mzaha usishangae.

Swala la kwamba simu imeuzika, haihalalishi kwamba BOXED = USED!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom