Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Cc:mods msaada kudelete hizi pics,zimekuja kwa bahati mbaya
 
Asanteni kwa michango ya hali na mali,
Nashukuru kuna hela imekuja huku,
Mungu tu akubariki maana hata jina lako silijui;

Pia namba yangu ya air tel ni 0783 333048 ila haina usajili wa kudumu.
Naomba utumie tu hii ya voda ambayo ni 0755 557094.
 
Asanteni kwa michango ya hali na mali,
Nashukuru kuna hela imekuja huku,
Mungu tu akubariki maana hata jina lako silijui;

Pia namba yangu ya air tel ni 0783 333048 ila haina usajili wa kudumu.
Naomba utumie tu hii ya voda ambayo ni 0755 557094.
Hapana mimi niko na hela kwenye airtel money sina sehemu nyingine kwasasa maana naamini kutunza humo kuliko nmb nnayochukulia mshahara.
Mara nyingi nazitoa zote bank na kuziweka huko nenda basi kwa wakala hata sasa hivi.
Au weka namba ya uhakika airtel.
 
Asante, itume tu kwa hii air tel , asante 0783 333048
 

Mkuu Voda na Airtel wanaingiliana nwdays.. unaweza kutuma toka Voda kwenda Airtel & vice versa.. Kwenye Airtel hapo kuna option kutuma kwa mitandao mengine ambapo mpesa itaonekana hapo..
 
Siku hizi unatuma pesa mtandao wowote ule. Mpaka aende kwa wakala kusubiria?
 
ok, nazidi kukuombea mhenga mwenzangu.
 
Pole sana dada yetu binadamu tuna mengi tunayo pitia

Nashukuru kwa moyo wako wa upendo kwa mwanaume mwenzetu

Najua baadhi ya member wanauliza maswali magumu kulingana na uelewa wao katika matatizo na wakati huo wanashindwa kujua maisha yana kurasa zisizo hesabika na kila mtu anapitia ukurasa wake

Mungu akupe moyo wa uvumilivu kulingana na maswali ya baadhi ya member
 
Du..pole sana
 
Asante sana mwanangu,
Hela imefika, Mungu akubariki.
Asante.

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…