Huwezi jua, wengine huwa wanaachana lkn bado wanakuwa na mawasiliano mazuri. Mwache tu afanye kile ambacho anaona ni sahihi! Kila la heri kwake!Alafu kuuguza kwnyw huna uwezo, unaomba usaidiwe! Hv ukifika unasemaje? Nimekuja kuuguza mzazi mwenzangu? Na mkewe anakukaribisha kabisa? Haya ile umefika leo, kesho mgonjwa kafa (God forbid) si utashikwa uchawi? Haki wanawake wakati mwingine matatizo tunajitafutia wenyewe tu bila sababu za msingi..
Mie mwenyewe nilipata ukakasi nilipofungua hii thread.lakini nikahisi labda humu kuna utaratibu huo.nkakaa kimya.Mkuu
Unachosema ni sawa.
Ila mkuu hii trend inabadilika,sio sawa na zamani.
Inabadilika taratibu,step by step.
Harusi za zamani zilikua hazina kadi,sasa hivi ukumbini unaingia tu kwa mualiko wa kadi maalum,zamani kijijini mtu hazuiwi mlangoni.Sasa hivi harusi au msiba ni exclusive event,hatujiendei tuu kama zamani za machifu.
Sasa hivi,shida zinakua exclusive issues kwa mtu na watu wake ndio wanajuana wao tabia zao na maisha ya staili gani wanaishi ndio maana wanaombana mikopo ya hapa na pale.Tatizo ni kuiingiza jamii nzima mizigo yako sababu tu unaitwa Mamdenyi ulianza JF 2011 na una follower wengi sana.Hii ni social leverage,kutumia umaarufu kua ombaomba.This is wrong!
Kila mtu ana UhuruMie mwenyewe nilipata ukakasi nilipofungua hii thread.lakini nikahisi labda humu kuna utaratibu huo.nkakaa kimya.
"Mkinisema nalia".
Niah unafeli sana!
JF nipo tangu 2009.Nilikua natumia ID tofauti mpaka Dec 2017 nikaamua kuachana nayo!
Wewe kua na audacity ya kusema siijui JF ni unfounded claims!
Shuruti ya kuniambia ni-log out inatoka wapi?Jibu ulichoulizwa,huwezi sema siwezi!
Shida yenu ni kutuaminisha kua matatizo yetu tuanze kuweka kwenye threads ili kuomba msaada,thats ridiculous approach!
Wote tuna matatizo sawa,hii kuandika makala ni roho ngumu kama ya tapeli!
Unaojuana nao eti sababu umekaa sana JF wafate DMs msaidiane,no problem!
Kwanza who knows who in a personal level ya kuanza kupeana fedha za kutibiana mabwana?Walao mtoto ningeona hoja ya maana!
FisrtLady1 umejibu vyema sana.JF ni sawa na kijiji na kusaidiana ipo toka zamani kuna baadhi ya watu tumeshachangia kwenye misiba na ugonjwa so kutoa ni moyo wako unavyojisikia
Rafiki, jambo la ajabu mara nyingine wenye roho mbaya ndio wenye wingi wa vitu au mafanikio.Kupitia huu uzi nimegundua kuna baadhi ya wanawake wana miroho mibaya kumzidi hata shetani, na sishangai miaka inaenda hawaolewi na wengine kila siku wanaleta uzi wa kuachika na kutafuta wanaume tu, na hawatapata kamwe kwa miroho hiyo
Mimi kama mwalimu wa lugha hicho kiswahili ulichokitumia sasa hivi kinaniashiria wewe siyo mtanzania. Sitasema mengi ila naomba tuache sisi wewe endelea na ya kwako na kama wewe ni mtanzania nenda shule kasome tena lugha sababu ngeri na misemo haiendani. Usinijibu sababu sina haja ya kujibizana na wewe.Niah unafeli sana!
JF nipo tangu 2009.Nilikua natumia ID tofauti mpaka Dec 2017 nikaamua kuachana nayo!
Wewe kua na audacity ya kusema siijui JF ni unfounded claims!
Shuruti ya kuniambia ni-log out inatoka wapi?Jibu ulichoulizwa,huwezi sema siwezi!
Shida yenu ni kutuaminisha kua matatizo yetu tuanze kuweka kwenye threads ili kuomba msaada,thats ridiculous approach!
Wote tuna matatizo sawa,hii kuandika makala ni roho ngumu kama ya tapeli!
Unaojuana nao eti sababu umekaa sana JF wafate DMs msaidiane,no problem!
Kwanza who knows who in a personal level ya kuanza kupeana fedha za kutibiana mabwana?Walao mtoto ningeona hoja ya maana!
[emoji116] [emoji116] Nami nilihisi sio MtanzaniaMimi kama mwalimu wa lugha hicho kiswahili ulichokitumia sasa hivi kinaniashiria wewe siyo mtanzania. Sitasema mengi ila naomba tuache sisi wewe endelea na ya kwako na kama wewe ni mtanzania nenda shule kasome tena lugha sababu ngeri na misemo haiendani. Usinijibu sababu sina haja ya kujibizana na wewe.
Amesema yupo tangu miaka mingi lkn naona hana roho ya Ktz, huenda ni mzungu kwani haya ya kusaidiana sio utamaduni wao
JF ni sawa na kijiji na kusaidiana ipo toka zamani kuna baadhi ya watu tumeshachangia kwenye misiba na ugonjwa so kutoa ni moyo wako unavyojisikia
Kijiji kwenye shida!
Kwenye raha na mengine sio kijiji?
Haya maisha ya magroup ya whatsapp mnataka kutuletea na JF iwe WhatsApp group?
Mkuu tukileta wote shida za kuuguliwa humu hapataenea kabisa!
Tunavumilia shida wote humuu.Watu tunabeba mizigo kama yeye ila ndio kuna kumezea kuepuka kusumbua jamii iliyohusika kabisa!
Mimi kama mwalimu wa lugha hicho kiswahili ulichokitumia sasa hivi kinaniashiria wewe siyo mtanzania. Sitasema mengi ila naomba tuache sisi wewe endelea na ya kwako na kama wewe ni mtanzania nenda shule kasome tena lugha sababu ngeri na misemo haiendani. Usinijibu sababu sina haja ya kujibizana na wewe.
ndio maana sio wote wanaoleta shida inategemea umezidiwa kiasi gani
Kuna watu humu tumechanga harusi kiroho safi kabisa
so una uhuru wa kuchanga au kuacha mbona sio lazima ?
mtoa mada hajasema kama ni lazima 🙂🙂
Have blessed weekend
Ishu sio kuomba,hata mie nikikwama na nikakosa njia ya kutatua tatizo langu mwenyewe nitaomba msaada,lakini siwezi kuja kuomba humu,nina ndugu jamaa na marafiki,na majirani nitaanza nao hao kwanza.hakuna shida yeye akiomba humu ana uhuru huo na mimi pia nina uhuru wa kutoa maoni yanguKila mtu ana Uhuru
Kwani akiomba kuna shida gani? Ni vile tu anaomba msaada wa ex wake me ningempa.ila mwanaume alietelekeza family siwezi kutoa hela yangu
Kuomba hakuna mpaka ndo maana kuna ambao wanaomba barabarani.muache aombeIshu sio kuomba,hata mie nikikwama na nikakosa njia ya kutatua tatizo langu mwenyewe nitaomba msaada,lakini siwezi kuja kuomba humu,nina ndugu jamaa na marafiki,na majirani nitaanza nao hao kwanza.hakuna shida yeye akiomba humu ana uhuru huo na mimi pia nina uhuru wa kutoa maoni yangu