Mwenyezi Mungu akutie nguvuAsanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;
Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.
Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;
Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.
Asanteni sana!
Dunia haina hurumaNajaribu kufikiria ule wimbo wa Bahati Bukuku, mke Kajitoa kukuhudumia mme, mpaka kutoa papuchi.
Kwa sasa kinachohitajika ni kumsaidia, maneno mengine ni masimango flani ivi