gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Kwa mujibu wa tanesco ilipofika 1/4/2016 mteja yeyote anaetumia kuanzia 75 units kwa mwezi kuja chini atauziwa umeme tsh100/unit.
Lakini mimi mpaka sasa nipo kwenye ile tariff ya zamani ya 380 kwa unit.
Naomba kwa yeyote mwenye no ya customer care ya TANESCO ama ashauri si vibaya akanisaidia,
Natunguliza shukrani!
Lakini mimi mpaka sasa nipo kwenye ile tariff ya zamani ya 380 kwa unit.
Naomba kwa yeyote mwenye no ya customer care ya TANESCO ama ashauri si vibaya akanisaidia,
Natunguliza shukrani!