Ninatarajia kusafiri kwenda Kenya, ni vitu gani vya kuzingatia hasa pale mpakani Namanga?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,128
Habari wakuu,

Nina matarajio ya kusafiri kwenda Kenya, naomba kuuliza ni vitu gani vya ku consider hasa hasa pale border namanga, hadi nairobi, nategemea kukaa kwa wiki moja on personal reason nchini kwenya, so here i am asking things to consider?

1688507639906.png

Pale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.

Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
 
Kama anasafiri kwa bus, hiyo mia mbili ya kuwapa polisi haihitajiki labda kama usafiri binafsi.
 
Passport na kadi ya chanjo ya homa ya manjano
Mkuu Lusungo sisi waafrika waajabu. Passport ya nini Africa siyo Africa tu Africa mashariki? Si kuna East Africa community si kuna AU. Si walisaini treaty

Huu upuzi umeuona huku? Unaweza kutoka Copenhagen hadi Lisbon usisumbuliwe kuulizwa vitambulisho schengen tresty free movement.

Mimi najiuliza tu kuingia kenya kutoka Tanzania kuna haja gani ya kuwa na kugonga passport?

Inakera sana
 
Pale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.

Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
Kulikuwa hamna haja ya kuonesha vitambulisho mipakani East Africa ama Africa.

Tulisaini traeaty of free movement.
 
Kjana kama kijana mtafuta fursa achagui muda wala saa. ,,, Mm nimeona fursa kule kenya so nataka kwenda cheki mzee ,, hivi ushasikia kitu kinaitwa. rocks grinder machine ,,, rocks crusher machine..... Fursa hii mzee kuna ujenzi wa barabara kama zote huku ma-wilayani.....!!!!
 
Usiku huu mnene huko jamvin unaposti uzi. Kama taifa tunaelekea wapi? Wewe ni mchawi? Tendea haki mwili wako bana. Huu ni wakati wa kulala na kupumzika. DP world tusaidieni asee!
Kjana kama kijana mtafuta fursa achagui muda wala saa. ,,, Mm nimeona fursa kule kenya so nataka kwenda cheki mzee ,, hivi ushasikia kitu kinaitwa. rocks grinder machine ,,, rocks crusher machine..... Fursa hii mzee kuna ujenzi wa barabara kama zote huku ma-wilayani.....!!!!
 
Shukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaani

Issue ni hii kuna kampuni lipo nairobi kenya linahusika na uuzaji wa machine za kupasulia miamba na kusaga miamba up to designed state saa nata niende huko nkacheki japo kufanya survey tuu ili panapo , Majaliwa niweze fungua investment hii ya rocks crushing and pulverizer manufacture
 
Pale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.

Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
Shukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaani

Issue ni hii kuna kampuni lipo nairobi kenya linahusika na uuzaji wa machine za kupasulia miamba na kusaga miamba up to designed state saa nata niende huko nkacheki japo kufanya survey tuu ili panapo , Majaliwa niweze fungua investment hii ya rocks crushing and pulverizer manufacture
 
Kila la kheri kijana usisahau kufunga mshipi ukiwa umepanda matatu kwa road....

Mshipi ni mkanda na matatu ni daladala 😁😁😁😁

Traffic wakenya wanapenda rushwa sana.
 
Shukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaani

Issue ni hii kuna kampuni lipo nairobi kenya linahusika na uuzaji wa machine za kupasulia miamba na kusaga miamba up to designed state saa nata niende huko nkacheki japo kufanya survey tuu ili panapo , Majaliwa niweze fungua investment hii ya rocks crushing and pulverizer manufacture
Mbona comment yako imejirudia mara mia? Tatizo nini?
 
Ukifika nairob CBD usithubutu kutema mate hovyo, kukojoa uchochoron au kutupa taka hovyo... ukidakwa na makanjoo utaishia mahakaman kama hutowapooza
 
Shukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaani

Issue ni hii kuna kampuni lipo nairobi kenya linahusika na uuzaji wa machine za kupasulia miamba na kusaga miamba up to designed state saa nata niende huko nkacheki japo kufanya survey tuu ili panapo , Majaliwa niweze fungua investment hii ya rocks crushing and pulverizer manufacture
Waambie washua wakudhamini uende majuu
 
Back
Top Bottom