Ninatarajia DATE ya kwanza kabisa ndani ya miezi miwili.......

Ninatarajia DATE ya kwanza kabisa ndani ya miezi miwili.......

One of the most amazing feelings in the world is having someone fall in love with you who you thought you never had a chance with.
 
Nani vile?...tangu lini?
Wewe unaona iko sawa hiyo date....kwanini isubiriwe mpaka 2 months...hujui kama umesubiri sana. Yaani anakupanga kwa time yake kama vile mko msururu. Unless hayupo nchini lakini sioni sababu iwe hivyo....
 
Back
Top Bottom