Ninataraji kuvuna Maboga. Wapi ninaweza kupata soko?

Ninataraji kuvuna Maboga. Wapi ninaweza kupata soko?

Mimi naomba kuuliza je wapi naweza pata soko la uhakika la majimbi na maboga mwezi wa sita 2018?
 
Mimi naomba kuuliza je wapi naweza pata soko la uhakika la majimbi na maboga mwezi wa sita 2018?
Mkuu NINA IMANI, Tuko pamoja katika kutafta soko la uhakika hasa la maboga, ukilipata nijuze.

Soko la uhakika lipo kwenye mbegu za maboga ingawaje changamoto ipo kwenye bei kuwa ndogo hasa kipindi cha mavuno.
 
Hujapata bado, sokoni maboga bei ghali kaboga kadogo elf 3
 
Habari wanajukwaa,

Nahitaji kujuzwa wapi naweza pata soko la maboga, kwani nataraji kuvuna maboga takriban fuso moja au zaid mnamo mwezi wa nane. Nimelima mkoani Tanga wilaya ya Handeni.

Nilipanda maboga kwa lengo la kuhifadhi unyevu kwenye shamba langu la mahindi,lakini kwa jinsi yalivyomea na kuzaa ndio napata wazo la kutafuta soko. Karibuni.

Mkuu soko ulipata wapi? Uliuza kwa sh ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom