Ninatamani kurudi kwake...

Ninatamani kurudi kwake...

Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Unajua watu kama nyie mnafurahisha sana. Na mabaya yazid kuwapata tu. Unamuacha mtoto watu na kuuvunja moyo wake, leo unasema unataka kurudi... no way man. You fuked up thats it...

Binafsi ningekupa mbinu ya kumrudisha ambayo ni effective..lakin i swear ulivyomuacha hiyo.mbinu sikupi.
 
Wakati Unamuacha Ulikua Na Miaka Mingapi?

Ila Kumamaezenu Watu Kama Nyie Mnatuharibia Mno Kwa Mabinti Tunaonekana Hatuna Maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom