Ninatamani kurudi kwake...

Ninatamani kurudi kwake...

Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Aiseeeeh story yangu hiyoo we rud tu nishakusamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada upuuzi moja
Thread zake zingine anajiita mwanamke, sijuhi kaachwa na mumewe...Leo ana jiita mwanaume.
Mie nahisi wewe PUNGA.
 
mshenz kweli wewe....mnatutesa sana nyie wanaume.Lakini uzuri mnakufa....mngekuwa hamfi..tungekoma siye
 
Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Malpo nii hapaa hapa now its you're tym but kama unampendaa nenda ukamwombe msamaha maybe anaweza akusamehe but kama ashapata mwinginee polee

Nyie ndio wachawi kabisa

Unalaaan ww urud kufany nn endelea na maisha tako tu
 
Eeeh Mungu msaidie huyo dada popote alipo asirudi katika mikono ya huyu mwanaume The Donchop maana wewe mwanaume ni mshen... umenikera sana utafikiri mimi ndo huyo dada na ninaomba upate mdada wa mjini akunyooshe mpaka ushike adabu
Nasindikiza kwa makofi matatu....pwa! pwa! pwa! 🙂
 
Mbona thread zako za nyuma zinaonyesha wewe ni mwanamke???? Acha kutudanganya
 
Malpo nii hapaa hapa now its you're tym but kama unampendaa nenda ukamwombe msamaha maybe anaweza akusamehe but kama ashapata mwinginee polee

Sent using Jamii Forums mobile app
Akae muda wote huo akimsubiri yeye kwani amekua Yesu ?
he had his chance ....let karma do its work...and one thing about karma it never stops until its done

What goes around always comes around
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom