Ninatamani kurudi kwake...

Ninatamani kurudi kwake...

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
381
Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
 
Deep down the broken heart
Touched by the truly loving arm
Chords that are broken
Will vibrate once more
She is no longer yours.. Kampata anayemjali kumheshimu na kumpenda kwa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya kweli hayafi mzee baba kama alikua anakupenda kweli rudi, ongea nae ila sio kwa kuomba msamaha unamkalisha unamwambia nimefikiria na nimeona what i did was not right. Na sasa hivi nipo tayari to take u in so kama still una feelings na mimi turudiane then mwache yeye aamue, Usionyeshe kwamba upo desperate sana kumrudia atakunyoosha nakwambia.
Mpe nafasi awaze na kuamua kama atakua tayari vizuri asipokua tayari ndo basi... ITABIDI UPAMBANE NA HALI YAKO.

Sent From Guest House
 
Wanajamii... Wazima?
Ni mwaka sasa tokea nimeachana na aliyekuwa kipenzi changu. Alinipenda sana. Alinipenda nilipokosa kazi na hata nilipopata.
Kuna kipindi nilihisi kumchoka tu. From no where nilimpigia simu nikamwambia asinijue wala nisimjue.
Nakumbuka binti wa watu alilia sana. Kweli alikuwa na mapenzi ya dhati. Aliomboleza kwa zaidi ya miezi mitatu. Mara nyingine alikuwa akija nyumbani kunipigia magoti akiwa amelewa wakati hakuwa mnywaji. Sikuhisi huruma hata chembe.
Nilichotaka ni kutoona sura yake wala kumsikia ingawa mama mzazi alimpenda sana binti.
Sasa nataka kurudi lakini sielewi ndugu zangu, kumuacha kwa maneno yote mabaya vile, leo narudi vipi? Sijaona simu yake muda sasa.
Msaada tutani.
Karma is a bitch ,sasa ndo ujue what goes around comes around

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo kilichokufanya umchoke jana kitakutokea tena kesho,so muache mtoto wa watu afanye maisha yake...sio chaguo sahihi kwako...acha kuendeshwa na matukio ya kuumizwa kimapenzi unayopambana nayo sasa.
 
Kilichofanya umchoke hakipo siku ili?Achana na mihemko songa mbele
 
Hukumpenda wewe...na hata sasa hujampenda bali umemkumbuka tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom