Kiongozi tuanze nawewe unaeminyaminya nyanya halafu unanunua biringanya?Mkuu mimi mwenyewe kujitunza bado ni mtihani. Kumhudumia ni kama bahati nasibu.
Kiufupi uwezo wa kumuoa sina mkuu na sioni hata dalili za kuwa na huo uwezo.
Usimuache pambana utapita hiyo hali.
Ilishanitokea nikafanya maamuzi kama yako na nikaja kujuta sana.
Baada ya kumuacha haikupita miezi miwili nilipata kazi ya maana ambapo ningeweza mudu majukumu ya familia, lakini nilishachelewa alishaekwa ndani.
Wewe na yule pasua kichwa wako muendelee tu hivyohivyo maana ukimuacha ataepata shida ni mwanaume atakaeishi na huo mchepuko wako.MUNGU akubaliki Sana,
Niombee na Mimi basi niwe na moyo Kama wako mkuu, maana nmenasa kwelikweli
Mtoa mada anauchukulia ugumu wa maisha kama defense mechanism ya kumuacha binti wa watu, ila kiuhalisia jamaa anaonekana sio muoaji na ana mademu wengi, hua inafikia kipindi anafeel guilty kumuharibia binti maisha yake ili hali hana mpango nae, hapo unakuta binti ana sifa zote za kua mke na waoaji wanakuja kibao kumchumbia lakini binti anawakataa kwa kutarajia ipo siku jamaa yake atakuja muoa.Nimeshangaa namna unavyojidisqualify, "ooh mara sistahili kuwa na huyu mwanamke ni mzuri sana" unaonekana hujiamini na mwanamke atakuacha kwa sababu hiyo. Mwanamke anabidi akusaidie wewe kufikia malengo yako sio akukimbie kipindi unatafuta. Wanaume wengi mna tabia ya kuogopa wanawake kama miungu, You treat women like Goddesses wakati uhalisia wa maisha mnauelewa, that's weakness.
😁 afazali umejisema na ubadirike sasaMtoa mada anauchukulia ugumu wa maisha kama defense mechanism ya kumuacha binti wa watu, ila kiuhalisia jamaa anaonekana sio muoaji na ana mademu wengi, hua inafikia kipindi anafeel guilty kumuharibia binti maisha yake ili hali hana mpango nae, hapo unakuta binti ana sifa zote za kua mke na waoaji wanakuja kibao kumchumbia lakini binti anawakataa kwa kutarajia ipo siku jamaa yake atakuja muoa.
Hii hali sio wewe tu, wanaume kibao hua tunapitia changamoto ya namna hii halafu binti wa watu akishaolewa ndio unaanza kujuta na kujilaumu kwa nini uliamua kumuacha.
Namshukuru Mungu muda mreeefu nilishatoka huko.afazali umejisema na ubadirike sasa
Una moyo wa kipekee sana, tumia nguvu muache mkuu Mungu atakulipaWakuu heshima kwenu,
Bila kupoteza muda niwe straight.
Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa ufupi ana sifa zote za wife material.
We jamaa umeongea kitu cha akili sana.Una wazo zuri sawa, lakini kwa upande wa mwanamke yeye hudhani humpendi, kwasababu hulka ya wanawake huangalia leo zaidi kuliko kesho au keshokutwa ndio maana mapenzi inawagharimu wanawake zaidi kuliko mwanaume. Hawapendi kufikiria mustakabali wa maisha ya kesho. Wanaamini mwanaume maisha anayaweza tu hata km hana kazi wala fedha kwa wakati huu.
Umewaza kama mimiPengine yeye alikuwa mkosi, kauzibe…. hukuwahi kuwaza hilo?
Hapana mkuu si kweli kabisa. Sina mademu wengi. Ila naheshimu mchango wako pia.Mtoa mada anauchukulia ugumu wa maisha kama defense mechanism ya kumuacha binti wa watu, ila kiuhalisia jamaa anaonekana sio muoaji na ana mademu wengi, hua inafikia kipindi anafeel guilty kumuharibia binti maisha yake ili hali hana mpango nae, hapo unakuta binti ana sifa zote za kua mke na waoaji wanakuja kibao kumchumbia lakini binti anawakataa kwa kutarajia ipo siku jamaa yake atakuja muoa.
Hii hali sio wewe tu, wanaume kibao hua tunapitia changamoto ya namna hii halafu binti wa watu akishaolewa ndio unaanza kujuta na kujilaumu kwa nini uliamua kumuacha.
Aisee umeliongelea kwa udadavuzi mkubwa mkuu.Una wazo zuri sawa, lakini kwa upande wa mwanamke yeye hudhani humpendi, kwasababu hulka ya wanawake huangalia leo zaidi kuliko kesho au keshokutwa ndio maana mapenzi inawagharimu wanawake zaidi kuliko mwanaume. Hawapendi kufikiria mustakabali wa maisha ya kesho. Wanaamini mwanaume maisha anayaweza tu hata km hana kazi wala fedha kwa wakati huu.