NInatafuta coolant ya Honda, anayejua inapouzwa nisaidie

mjusilizard

JF-Expert Member
Nov 7, 2019
923
1,586
Salaam,

Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2

Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza.

Ninatanguliza shukrani.

photo_2021-02-04_08-26-55.jpg
 
Salaam,

Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2

Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza.

Ninatanguliza shukrani.

Aliyekudanganya kuhusu hio pole sana. Haujui wenzako wanataka kutengeneza hela kutoka kwako. Coolant yeyote ni sawa kabisa. Jifunze jinsi vehicle cooling system inavyofanya kazi ndg. Mkiwa na magari, mjifunze mechanisms ya systems zake. Mnalizwa sana
 
Salaam,

Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2

Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza.

Ninatanguliza shukrani.

Na kama radiator yako ina kutu. Hata hio type 2 haitasaidia. Kutu itarudi tu. Tafuta mtaalam anayesifika kwa cooling system, aifanyie kazi ili kutu isirudi once and for all.
 
Back
Top Bottom