mwekezaji au bidhaa za kenya ndo zinauza sana hapa?kwani kuna viwanda vipi vya wakenya vilivyopo hapa Tz?nakumbusha yafuatayo: iwapo tutajiondoa EAC (sikubaliane na wanaosema kuwa tumeondolewa), tujuwe kuwe uchumi utaathirika kiasi fulani. Kenya ni muwekezaji namba mbili hapa tanzania. siyo kwamba wataondoka lkn uwekezaji wao utapungua. tujitahidi kuboresha bandari yetu ya dar ili tutawale zaidi soko la zambia na malawi. nchi hizi zinatumia bandari yetu kwa chini ya 30%. tukiiboresha tutawavutia zaidi. tuboreshe miundombinu ya usafiri kati ya tanzania na drc pamoja na burundi. tuna soko la drc na burundi lkn miundombinu pamoja na usalama bado ni mushkil.
siungi mkono kujitenga. tuwaache wajenge reli yao lkn tuendelee kuwemo katika jumuiya bila kutoa ardhi yetu. kuhusu soko la pamoja ni muhimu sana. uhuru wa raia kusafiri na kupita mipakani bila kulipia nalo ni jambo muhimu sana. TAFAKARI
Mkuu wangu hoja yako hujaitafakari kiuchumi! EAC ikivunjika ni hatari zaidi kwa Kenya kuliko kwa Tanzania. Kwanza, ingawaje Wakenya ndio investors wakubwa hapa Tanzania, lakini hakuna mwekezaji makini atakayeamua kuondoka kwa ajili ya kuvunjika EAC kwa sababu nitakazotaja. Lakini ile kuendelea kubaki itakuwa na hasara kwa sababu watakosa zile privilege zinazotokana na EAC.nakumbusha yafuatayo: iwapo tutajiondoa EAC (sikubaliane na wanaosema kuwa tumeondolewa), tujuwe kuwe uchumi utaathirika kiasi fulani. Kenya ni muwekezaji namba mbili hapa tanzania. siyo kwamba wataondoka lkn uwekezaji wao utapungua. tujitahidi kuboresha bandari yetu ya dar ili tutawale zaidi soko la zambia na malawi. nchi hizi zinatumia bandari yetu kwa chini ya 30%. tukiiboresha tutawavutia zaidi. tuboreshe miundombinu ya usafiri kati ya tanzania na drc pamoja na burundi. tuna soko la drc na burundi lkn miundombinu pamoja na usalama bado ni mushkil.
siungi mkono kujitenga. tuwaache wajenge reli yao lkn tuendelee kuwemo katika jumuiya bila kutoa ardhi yetu. kuhusu soko la pamoja ni muhimu sana. uhuru wa raia kusafiri na kupita mipakani bila kulipia nalo ni jambo muhimu sana. TAFAKARI
Wataponda sana, watakashifu sana coz' nawafahamu Wakenya wanavyojifanya wapo smart wakati si lolote si chochote!! Na wengine tunadanganyika kwa vile tunavyoiona Nairobi imejengeka! Lakini kwa mwenye akili timamu anafahamu fika kwamba, kwa sasa Rate ya kukimbia kati ya Kenya na Tanzania; Tanzania is far better than Kenya! Wataendelea kujivunia ma-highway wakati hata uwezo wa kujilisha hawana! Miaka mitano iliyopita GDP na GDP Per Capita walikuwa wanatuacha kwa mbali ile mbaya including government, lakini kadri muda unavyoenda, tunazidi kuwakaba koo!Wakenya wanavyotuponda.
Kenyanlist.com | What Is This About Tz Parliament Resolving To Get Out
Ivunjeke vipi wenzetu wanazidi kusonga mbele?Watanzania mmekuwa na visingizio vingi kuficha udhaifu wenu sana.Kwa mfano kulikuwa na makubaliano ya ujenzi wa reli siku nyingi toka Isaka Burundihadi Rwanda kwa ushirikiano wa nchi hizi tatu.Inasemekana wenzetu walishatoa tayari pesa,sie bado tunaendelea na siasa zetu za upembuzi yakinifu bila time frame!Leo Rwanda wakighairi kuchangia mtaanza kusingizia ardhi?Kubalini kuna udhaifu mkubwa kwenye uongozi na huenda ikawa ni sababu nzuri ya kufanya sie tutengwe na wenzetu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nyerere alisema kuwa Kenye ni "manyangau". Nyerere alikuwa Nabii alitabiri ushenzi wa wakenya!
mimi nadhani tumechelewa. Uamuzi wa kujitoa ulitakiwa mapema zaidi ya leo
Kama sisi ndo wanunuzi wakubwa wa bidhaa zao ina maana tunaweza kuhamishia biashara zetu nchi nyingine. (sisi ndo wenye pesa)nakumbusha yafuatayo: iwapo tutajiondoa EAC (sikubaliane na wanaosema kuwa tumeondolewa), tujuwe kuwe uchumi utaathirika kiasi fulani. Kenya ni muwekezaji namba mbili hapa tanzania. siyo kwamba wataondoka lkn uwekezaji wao utapungua. tujitahidi kuboresha bandari yetu ya dar ili tutawale zaidi soko la zambia na malawi. nchi hizi zinatumia bandari yetu kwa chini ya 30%. tukiiboresha tutawavutia zaidi. tuboreshe miundombinu ya usafiri kati ya tanzania na drc pamoja na burundi. tuna soko la drc na burundi lkn miundombinu pamoja na usalama bado ni mushkil.
siungi mkono kujitenga. tuwaache wajenge reli yao lkn tuendelee kuwemo katika jumuiya bila kutoa ardhi yetu. kuhusu soko la pamoja ni muhimu sana. uhuru wa raia kusafiri na kupita mipakani bila kulipia nalo ni jambo muhimu sana. TAFAKARI
Inaonekana tanzania haiko serious na eac kwasabu kuna vikao kadhaa nchi hizi zimekaa kupanga mipango ya jumuiya,, lakini tz imeomekana kusua sua ktk kufanya maamzi ktk hatua za mwisho za utekelezaji wa maamzi ikidai kuwa haijajiandaa... Ukiangalia hata bandari ya dsm uchakachuaji mwingi sana. Halafu mh sitta anatoa majibu ya ajabu bungeni juu ya kutengwa kwa hii nchi.
Fuatilia utafahamu kinachoendelea, badala ya kufananisha EAC na Zanzibar. Ukiwaachia Mungiki utalia...Hoja ya kwamba watanganyika ardhi yenu ni dili zaidi mbona kwenye muungano na zanzibr ardhi yenu mmeruhusu itumike huru tena rahisi sana kuipata kwa mzanzibr,vireje leo mujitoe EAC kwa sababu tu ya ardhi yenu?kwa vile mmefanikiwa kuingiza siasa chafu kwa nchi ya zanzbr kupitia muungano sababu ya tanganyika kutengwa na EAC ni kwamba wenzetu hawataki kuingiziwa siasa chafu nchi zao kutoka kwa wadanganyika,ahsantum.