Hupigiwagi simu eeHivi mwanaume unaanzaje kutwanga simu mfululizo hivyo? Mpz? Huyo jamaa wa wapi?
Aah wapi, Dina umeleta uzi kumpaka jamaa mafuta, kisa hukupokea simu zake for whatever reasons ili aone unampenda pia, naamini you're doing something wrong unajikosha kwake ili a-cool down.
Anyway, wengine tumezoea critics ila hongera kupendwa.
NimetafutwaaaHua ni rahis sana kuonesha watu yule unaempenda but ninachojua mm hakuna anaependa kulizwa when something goes wrong....
Alaf mama missed col sio kipimo cha upendo....sometimes hutumika kama njia ya kuaminisha.
Ahsante.
Huku Nifanyia Fair Dada Angu Amber roseHahahahaha
Sipendi mtu kunipigia simu nyingi, nikiona missed call moja nitaelewa kuwa ananitafuta.Hupigiwagi simu ee
Mie wazee ndo type zangu ila hawaji sasa!Acha uongo, hutaki wazee kama sisi tukupige saundi!!!
ka photoshop huyuHii whatsapp yako kiboko aisee..
kuna message imetumwa 8:52pm ila ipo juu ya missed call ya 8:51pm
Missed call ya 8:14 pm ipo chini ya missed call ya 8:51 pm. Unajua umenifanya mpaka nikaenda kuangalia simu yangu ila bado sijaelewa.
Tumewaza sawia, Dina mjanja sana.Huu uzi nahisi umeanzishwa kwa lengo la kumrusha roho mtu fulani humu.. Ndio mambo ya wasichana hayo... Ni kuyazoea tu na kukubali kuwa ndivyo walivyo..
NB: Just my sixth sense, nothing personal!
Ah ah ah ah Kumbe Hongera HornetMie wazee ndo type zangu ila hawaji sasa!