Ninapenda Magufuli ashinde lakini nataka CCM ishindwe!

Huo utakuwa mpango ovu kwani kutainusuru chadema na kifo cha usaliti.

Acha Chadema ife tuje na upinzani wa dhati.
 
Yaani upigue kura urais cc na ubunge upinzani hapo umeiangusha ccm? Hizi ni ndoto za vijana wa ccm walionyweshwa viroba na ccm.

Kaipigie ccm kura za urais,udiwani n ubunge lakini piga ua Lowassa ndie rais.
 
Hapana Abel.....bado nitampigia Magufuli. Lakini nataka kumpigia kura Kubenea jimbo la Ubungo. Nataka ikiwezekana wabunge wa CCM hapa DSM wawe walau watatu (3) tu. Wabunge wchache kama Filikunjombe nitafurahi wakirudi.

Ahsante,tutashangilia pamoja baada ya matokeo.Wewe ukimshangilia Kubenea,mimi nitawashangilia wana UKAWA wote!
 
Siyoo rahisi Ccm kuhakikisha dawa zinapatikana hospitali za umma,mabadiriko ni muhimu kwa sass,
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu... Mimi kama mpiga kura wa nchi hii nitampigia kura Magufuli ili awe rais wa nchi hii. Lakini ninataka kupiga kura kwa wabunge na madiwani wa upinzani nikiwa na lengo la kuiangusha CCM. CCM nimeichukia lakini walinichanganya walipoleta mgombea ninayemuona ana nia ya kurejesha maendeleo ya Tanzania ambayo CCM imeyageuza kuwa mtaji wao wa kujitajirisha na kuacha masikini wakiwa hoi. Ninahamasisha, tuwanyime kura wabunge wa CCM ili mwisho wa siku wabaki wabunge ambao hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali isipokuwa wameshirikiana na vyama vya upinzani kuweka serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar. Ni vizuri sana kupata serikali ya pamoja ''Coalition'' ambayo napenda iundwe kwa ushirikiano kati ya CCM na UKAWA chini ya makubaliano ya win-win situation. Hii itatufanya 2020 tuuunde serikali nyingine tena itakayokuwa ya vyama zaidi ya vitatu. mfano CCM, Chadema, CUF na ACT wakaunda serikali ya pamoja. Sisi wananchi ndiyo tutafaidi na siyo chama kimoja na wanaojiita wenye chama; hao wapo kila chama katika nchi hii (CCM ina wenyewe,,Chadema ina wenyewe n.k.). Siyo rahisi kuingia akilini mwetu maana tulizoea CCM chama tawala (''twawala'') lakini hii nimeiona hapa (nchi tajiri hii) inawezekana https://en.wikipedia.org/wiki/Finnish_parliamentary_election,_2015

Government formation

As the leader of the largest party, Juha Sipilä of Centre was tasked with forming the new government coalition. In early May Sipilä announced that he will seek to form a right-leaning majority coalition consisting of the three largest parties – the Centre Party, the Finns Party and the National Coalition Party.[SUP][8][/SUP] The coalition negotiations were successful and led to the formation of the Sipilä cabinet on 29 May 2015.
Ndoto yako siyo halisi maana Katiba yetu haituhusu hayo. Kumbuka kwa Katiba na mfumo wa sasa kura unayompigia rais pia inamwongezea mbunge wa viti maalum! Mabadiliko pekee yatakuja kwa kuanzia kubadilisha Katiba - na siyo hii iliyopendekezwa maana bado haina hayo mabadiliko unayoyaota
 
Dah kama vile uko akilini mwangu rais ccm ubunge na udiwani wacha niwape ukawa hakuna namna tu hapa.
 
Option nzuri ya kulisaida Taifa ni kupigia kura UKAWA. Kwa kuwa tumefika hapa tulipo kwa sababu wabunge wa ccm ambao ndio wengi wanatetea serikali ambayo imeshindwa kuwatumikia wanabchi badala ya kuibana. Huyu JK anayezurura duniani na ambaye ndiye mwenyekiti wa chama ana nguvu ya kumshughulikia mbunge yeyote asiyelinda chama ndio maana mawaziri wanalala hawana wasi.

Kwa hiyo kuchagua Rais na Wabunge wa UKAWA litakuwa ni somo kuwa wananchi hawataki mchezo. Na ni muhimu ccm ipoteze kimojawapo ama vyote yaani Urais na/au idadi ya wabunge wengi. Kwa kuwa hatuna uhakika kipi kitatokea ni vyema kuchagua UKAWA kwenye Urais na Ubunge ili kimojawapo kitokee au vyote. Na ni wazi kuwa na wabunge wengi wa ccm upinzani hiyo serikali haitalala kwani watataka kurudi madarakani na nchi itafaidi.
 
Kapokee buku 7 zako Lumumba.... Ni wehu tu ndio wataichagua CCM
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu... Mimi kama mpiga kura wa nchi hii nitampigia kura Magufuli ili awe rais wa nchi hii. Lakini ninataka kupiga kura kwa wabunge na madiwani wa upinzani nikiwa na lengo la kuiangusha CCM. CCM nimeichukia lakini walinichanganya walipoleta mgombea ninayemuona ana nia ya kurejesha maendeleo ya Tanzania ambayo CCM imeyageuza kuwa mtaji wao wa kujitajirisha na kuacha masikini wakiwa hoi. Ninahamasisha, tuwanyime kura wabunge wa CCM ili mwisho wa siku wabaki wabunge ambao hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali isipokuwa wameshirikiana na vyama vya upinzani kuweka serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar. Ni vizuri sana kupata serikali ya pamoja ''Coalition'' ambayo napenda iundwe kwa ushirikiano kati ya CCM na UKAWA chini ya makubaliano ya win-win situation. Hii itatufanya 2020 tuuunde serikali nyingine tena itakayokuwa ya vyama zaidi ya vitatu. mfano CCM, Chadema, CUF na ACT wakaunda serikali ya pamoja. Sisi wananchi ndiyo tutafaidi na siyo chama kimoja na wanaojiita wenye chama; hao wapo kila chama katika nchi hii (CCM ina wenyewe,,Chadema ina wenyewe n.k.). Siyo rahisi kuingia akilini mwetu maana tulizoea CCM chama tawala (''twawala'') lakini hii nimeiona hapa (nchi tajiri hii) inawezekana https://en.wikipedia.org/wiki/Finnish_parliamentary_election,_2015

[h=2]Government formation[/h]As the leader of the largest party, Juha Sipilä of Centre was tasked with forming the new government coalition. In early May Sipilä announced that he will seek to form a right-leaning majority coalition consisting of the three largest parties – the Centre Party, the Finns Party and the National Coalition Party.[SUP][8][/SUP] The coalition negotiations were successful and led to the formation of the Sipilä cabinet on 29 May 2015.

Magufuli atashindwa na CCM itashindwa
 
Lowasa hafai karibia hata kuta za ikulu.
 
Mtoa mada mugu(1)upo Kanisani)(1)upo kirabuni

Mfano wako unafanana lakini haufai. Nimesema nampigia Magufuli ila sitaki serikali yake iwe na akina Job Lusinde , Makongoro Nyerere na Mwigulu Nchemba waliofanikiwa. Basi sasa sema mimi ni mlevi ambaye nimeamua kwenda kanisani nikiwa nanuka pombe...lakini hatimaye pombe ikiisha nikiwa kanisani naongoka. Wewe mlevi unayelala bar na biblia yako ndogo mfukoni je utaongoka?
 
Ndoto yako siyo halisi maana Katiba yetu haituhusu hayo. Kumbuka kwa Katiba na mfumo wa sasa kura unayompigia rais pia inamwongezea mbunge wa viti maalum! Mabadiliko pekee yatakuja kwa kuanzia kubadilisha Katiba - na siyo hii iliyopendekezwa maana bado haina hayo mabadiliko unayoyaota

Kumbuka katiba yako ya sasa ni ya mwaka 1977...kipi kitazuia kuweka kiraka hicho?
 
Wewe hukuona mtu wa kumpigia isipokuwa yule mnafik kubenea? Unasikitisha sana.

Heri manafiki anayeweza kushauriwa akafanya jambo jema kuliko wanafiki wenzangu walio wengi CCM wanaamini nchi hii ni mali yao pekee. Nampigia magufuli lakini siwataki viongozi wa aina ya Asumpta Mshama wanaohangaika sasa kupiga kampeni halafu wapewe viti maalum wakaendelee kuropoka bungeni
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu... Mimi kama mpiga kura wa nchi hii nitampigia kura Magufuli ili awe rais wa nchi hii. Lakini ninataka kupiga kura kwa wabunge na madiwani wa upinzani nikiwa na lengo la kuiangusha CCM. CCM nimeichukia lakini walinichanganya walipoleta mgombea ninayemuona ana nia ya kurejesha maendeleo ya Tanzania ambayo CCM imeyageuza kuwa mtaji wao wa kujitajirisha na kuacha masikini wakiwa hoi. Ninahamasisha, tuwanyime kura wabunge wa CCM ili mwisho wa siku wabaki wabunge ambao hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali isipokuwa wameshirikiana na vyama vya upinzani kuweka serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar. Ni vizuri sana kupata serikali ya pamoja ''Coalition'' ambayo napenda iundwe kwa ushirikiano kati ya CCM na UKAWA chini ya makubaliano ya win-win situation. Hii itatufanya 2020 tuuunde serikali nyingine tena itakayokuwa ya vyama zaidi ya vitatu. mfano CCM, Chadema, CUF na ACT wakaunda serikali ya pamoja. Sisi wananchi ndiyo tutafaidi na siyo chama kimoja na wanaojiita wenye chama; hao wapo kila chama katika nchi hii (CCM ina wenyewe,,Chadema ina wenyewe n.k.). Siyo rahisi kuingia akilini mwetu maana tulizoea CCM chama tawala (''twawala'') lakini hii nimeiona hapa (nchi tajiri hii) inawezekana https://en.wikipedia.org/wiki/Finnish_parliamentary_election,_2015

Government formation

As the leader of the largest party, Juha Sipilä of Centre was tasked with forming the new government coalition. In early May Sipilä announced that he will seek to form a right-leaning majority coalition consisting of the three largest parties – the Centre Party, the Finns Party and the National Coalition Party.[SUP][8][/SUP] The coalition negotiations were successful and led to the formation of the Sipilä cabinet on 29 May 2015.
Mkuu i salute you, we are sharing the same vision, on my thinking by 2020 Opposition ina possibility ya kuwa na credible and competetent candidate, na tukiwa na serikali ya mseto ni rahisi kuirudisha katiba ya Warioba pia mgombea wa CCM Magufuli atatawala kwa miaka mitano tu, angalau nchi itakuwa safe, under the same situation sioni hawa wapenda madaraka wa CHADEMA Wanapoweza kutufikisha.
 
Back
Top Bottom