Ninapenda Magufuli ashinde lakini nataka CCM ishindwe!

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
Msema kweli mpenzi wa Mungu... Mimi kama mpiga kura wa nchi hii nitampigia kura Magufuli ili awe rais wa nchi hii. Lakini ninataka kupiga kura kwa wabunge na madiwani wa upinzani nikiwa na lengo la kuiangusha CCM. CCM nimeichukia lakini walinichanganya walipoleta mgombea ninayemuona ana nia ya kurejesha maendeleo ya Tanzania ambayo CCM imeyageuza kuwa mtaji wao wa kujitajirisha na kuacha masikini wakiwa hoi. Ninahamasisha, tuwanyime kura wabunge wa CCM ili mwisho wa siku wabaki wabunge ambao hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali isipokuwa wameshirikiana na vyama vya upinzani kuweka serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar. Ni vizuri sana kupata serikali ya pamoja ''Coalition'' ambayo napenda iundwe kwa ushirikiano kati ya CCM na UKAWA chini ya makubaliano ya win-win situation. Hii itatufanya 2020 tuuunde serikali nyingine tena itakayokuwa ya vyama zaidi ya vitatu. mfano CCM, Chadema, CUF na ACT wakaunda serikali ya pamoja. Sisi wananchi ndiyo tutafaidi na siyo chama kimoja na wanaojiita wenye chama; hao wapo kila chama katika nchi hii (CCM ina wenyewe,,Chadema ina wenyewe n.k.). Siyo rahisi kuingia akilini mwetu maana tulizoea CCM chama tawala (''twawala'') lakini hii nimeiona hapa (nchi tajiri hii) inawezekana https://en.wikipedia.org/wiki/Finnish_parliamentary_election,_2015

[h=2]Government formation[/h]As the leader of the largest party, Juha Sipilä of Centre was tasked with forming the new government coalition. In early May Sipilä announced that he will seek to form a right-leaning majority coalition consisting of the three largest parties – the Centre Party, the Finns Party and the National Coalition Party.[SUP][8][/SUP] The coalition negotiations were successful and led to the formation of the Sipilä cabinet on 29 May 2015.
 
Hapana Abel.....bado nitampigia Magufuli. Lakini nataka kumpigia kura Kubenea jimbo la Ubungo. Nataka ikiwezekana wabunge wa CCM hapa DSM wawe walau watatu (3) tu. Wabunge wchache kama Filikunjombe nitafurahi wakirudi.
 
Mkuu nakuunga mkono kabisa....nafsi yangu hainitumi kabisa nimpigie kura Lowassa ingawa nimeipenda chedema kwa mda mrefu sana....nashukuru leo nimepata jibu....kura yangu udiwami cdm, ubunge cdm uraisi nasikitika sana kwamba nitampigia magufuli....kwangu kibaya hiki ni afadhari kuliko lowassa
 
Akili ya kuambiwa changanya na yako.Jibu October inyeshe Mvua jua liwake Lowasa Rais
 
Ni kura tu wala tusitemeane mate......unampigia Lowassa nampigia Magufuli. Atakayeshinda tunasonga mbele. Ila niwaambie UKAWA bado hamjaamka, nendeni vijijini mjue Magufuli ndiye atashinda acheni kung'ang'ana Mwembeyanga na Kawe. Nendeni Makiungu au Lukuledi halafu mfanye tathmini
 
Mkuu nakuunga mkono kabisa....nafsi yangu hainitumi kabisa nimpigie kura Lowassa ingawa nimeipenda chedema kwa mda mrefu sana....nashukuru leo nimepata jibu....kura yangu udiwami cdm, ubunge cdm uraisi nasikitika sana kwamba nitampigia magufuli....kwangu kibaya hiki ni afadhari kuliko lowassa

Acha uhuni wewe, Naona Lumumba mnaleta staili mpya ya kupata kura za Magufuli. Naona ile ya Chagua Magufuli na si CCM imebuma, Haaa haaaa haaaa.
 
Ni kura tu wala tusitemeane mate......unampigia Lowassa nampigia Magufuli. Atakayeshinda tunasonga mbele. Ila niwaambie UKAWA bado hamjaamka, nendeni vijijini mjue Magufuli ndiye atashinda acheni kung'ang'ana Mwembeyanga na Kawe. Nendeni Makiungu au Lukuledi halafu mfanye tathmini

Mkuu unaota, naona bao la mkono mnaliandalia vijijini wakatiti wapiga kura wa sasa si vijijini wala mjini walishaamka.
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu... Mimi kama mpiga kura wa nchi hii nitampigia kura Magufuli ili awe rais wa nchi hii. Lakini ninataka kupiga kura kwa wabunge na madiwani wa upinzani nikiwa na lengo la kuiangusha CCM. CCM nimeichukia lakini walinichanganya walipoleta mgombea ninayemuona ana nia ya kurejesha maendeleo ya Tanzania ambayo CCM imeyageuza kuwa mtaji wao wa kujitajirisha na kuacha masikini wakiwa hoi. Ninahamasisha, tuwanyime kura wabunge wa CCM ili mwisho wa siku wabaki wabunge ambao hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali isipokuwa wameshirikiana na vyama vya upinzani kuweka serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar. Ni vizuri sana kupata serikali ya pamoja ''Coalition'' ambayo napenda iundwe kwa ushirikiano kati ya CCM na UKAWA chini ya makubaliano ya win-win situation. Hii itatufanya 2020 tuuunde serikali nyingine tena itakayokuwa ya vyama zaidi ya vitatu. mfano CCM, Chadema, CUF na ACT wakaunda serikali ya pamoja. Sisi wananchi ndiyo tutafaidi na siyo chama kimoja na wanaojiita wenye chama; hao wapo kila chama katika nchi hii (CCM ina wenyewe,,Chadema ina wenyewe n.k.). Siyo rahisi kuingia akilini mwetu maana tulizoea CCM chama tawala (''twawala'') lakini hii nimeiona hapa (nchi tajiri hii) inawezekana https://en.wikipedia.org/wiki/Finnish_parliamentary_election,_2015

Government formation

As the leader of the largest party, Juha Sipilä of Centre was tasked with forming the new government coalition. In early May Sipilä announced that he will seek to form a right-leaning majority coalition consisting of the three largest parties – the Centre Party, the Finns Party and the National Coalition Party.[SUP][8][/SUP] The coalition negotiations were successful and led to the formation of the Sipilä cabinet on 29 May 2015.
Kiongozi aliyeko sasa alikuwa yupo vizuri sana zaidi ya huyu (unaesema utampigia kura); alikuwa na nia ya dhati kutekeleza yale yote aliyoyaahidi. Wakishaapishwa hawa, wenye uraisi wao wanachukua control ambao ni chama. Kama atashinda, sitashangaa akawa kiongozi mwenye alama za chini kuliko wote waliomtangulia.
 
Ni sawa lakini nasisitiza UKAWA wafanye utafiti wasije kuishia kusema wameibiwa. Kampeni hapa Segerea za nini badala ya kwenda ndani huko Mazinde juu... CCM wao kila anayezaliwa anawajua tena wengine wanadhani bado ni ya Nyerere
 
Wewe unaonekana umeufanyia kazi 75% ushauri wa mwenyekiti wetu, yaani kujiandaa kisaikolojia. Jitahidi umebakiza kidogo tu kwani mabadiliko huwa hayaji kirahisi kirahisi.
 
Kiongozi aliyeko sasa alikuwa yupo vizuri sana zaidi ya huyu (unaesema utampigia kura); alikuwa na nia ya dhati kutekeleza yale yote aliyoyaahidi. Wakishaapishwa hawa, wenye uraisi wao wanachukua control ambao ni chama. Kama atashinda, sitashangaa akawa kiongozi mwenye alama za chini kuliko wote waliomtangulia.

Usimtaje huyu anayemaliza.....tulilazimika kumpa na tumelazimika kuishi masikini. lakini Magufuli anako ka kiburi ka kibabe na amekaonyesha kwa kumkaukia Nape na Kinana na wapiga vuvuzela ili waibe
 
Magufuli ni sawa na mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.
 
Mkwai you are right. Infact that is the focus of silent voters.Serious People were annoyed with the behaviour of the majority group in the last Parliament. Pamoja tunakwenda Yes to Magufuli but Big No to former CCM MP's unless there is a new candidate. That is my wish. Washike adabu kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Hapana Abel.....bado nitampigia Magufuli. Lakini nataka kumpigia kura Kubenea jimbo la Ubungo. Nataka ikiwezekana wabunge wa CCM hapa DSM wawe walau watatu (3) tu. Wabunge wchache kama Filikunjombe nitafurahi wakirudi.

Wewe hukuona mtu wa kumpigia isipokuwa yule mnafik kubenea? Unasikitisha sana.
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu... Mimi kama mpiga kura wa nchi hii nitampigia kura Magufuli ili awe rais wa nchi hii. Lakini ninataka kupiga kura kwa wabunge na madiwani wa upinzani nikiwa na lengo la kuiangusha CCM. CCM nimeichukia lakini walinichanganya walipoleta mgombea ninayemuona ana nia ya kurejesha maendeleo ya Tanzania ambayo CCM imeyageuza kuwa mtaji wao wa kujitajirisha na kuacha masikini wakiwa hoi. Ninahamasisha, tuwanyime kura wabunge wa CCM ili mwisho wa siku wabaki wabunge ambao hawatakuwa na uwezo wa kuunda serikali isipokuwa wameshirikiana na vyama vya upinzani kuweka serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar. Ni vizuri sana kupata serikali ya pamoja ''Coalition'' ambayo napenda iundwe kwa ushirikiano kati ya CCM na UKAWA chini ya makubaliano ya win-win situation. Hii itatufanya 2020 tuuunde serikali nyingine tena itakayokuwa ya vyama zaidi ya vitatu. mfano CCM, Chadema, CUF na ACT wakaunda serikali ya pamoja. Sisi wananchi ndiyo tutafaidi na siyo chama kimoja na wanaojiita wenye chama; hao wapo kila chama katika nchi hii (CCM ina wenyewe,,Chadema ina wenyewe n.k.). Siyo rahisi kuingia akilini mwetu maana tulizoea CCM chama tawala (''twawala'') lakini hii nimeiona hapa (nchi tajiri hii) inawezekana https://en.wikipedia.org/wiki/Finnish_parliamentary_election,_2015

Government formation

As the leader of the largest party, Juha Sipilä of Centre was tasked with forming the new government coalition. In early May Sipilä announced that he will seek to form a right-leaning majority coalition consisting of the three largest parties – the Centre Party, the Finns Party and the National Coalition Party.[SUP][8][/SUP] The coalition negotiations were successful and led to the formation of the Sipilä cabinet on 29 May 2015.

Usemi wako uko sawa ila ni kuuwa kabisa hawa bila huruma hakuna haja ya kuwpa hata huo uraisi
 
Unaonekana Ni Kada Mzuri Lakini Magufuli Hashindi
 
Huwezi kutenganisha Magufuli na Ccm vinginevyo uwe taahila.

Hapa ni mabadiliko tu.ccmout.
 
UlizaBei kama huo ndio msimamo wako ungemshauri mapema Magufuli ahamie Ukawa, lakini kutaka kutughilibu kijanja eti tuinyime CCM kura lakini tumpe Magufuli, umechelewa.
 
Back
Top Bottom