che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 505
- 853
- Thread starter
-
- #21
Nimeandaa kikosi kazi,Kuna mtu nimempa matumaini kwamba atakuwa yeye,lakini ghafla atakumbana na kashfa na ndipo itaonekana Bora mwananguHahaha.........hapo lazima upambane umweke kijana wako tu, hata kama italazimu kuua Watanganyika wote
Mdharau mwiba.....Haya kunywa maji sasa
Hilo fumbo lako kulifumbua ni simple ila halina mvutoMdharau mwiba.....
Humu Kuna mchawi alitabiri ajali ya ndege,alitukanwa wee mwisho wa siku kweli ajali ikatokea
Dola sio mtu, ni mfumo kwa ujumla wake.Asante mkuu japo hauziki mwanangu,ila kwa kuwa Mimi ni Dola atakuwa tu
Hahaha.......ila yule pia ni mafia, anaweza kupindua mezaNimeandaa kikosi kazi,Kuna mtu nimempa matumaini kwamba atakuwa yeye,lakini ghafla atakumbana na kashfa na ndipo itaonekana Bora mwanangu
Pole pwani sio?Nikisubiri 2040 ndio aishike nchi,sina uhakika na uhai wangu kutokana na umri wangu.
Japo Mimi ni Dola,lakini siwaani hawa wenzangu kama watampitisha hiyo 2040.
Hivyo muda pekee ni hii 2030 kwani Bado Nina nguvu na ushawishi mkubwa.
Nitawapoteza wote watakao zuia mwanangu asiwe raisi 2030.
Kwaherini
Mtoa mada ameamua kufikisha ujumbe kuelezea yanayoendelea sirini kwa jumbe fichePole pwani sio?
Hajakamilika kuwa jasusi kwa kunisumbua.Aombe mungu anichukue kabla ya huo mudaHahaha.......ila yule pia ni mafia, anaweza kupindua meza
Huku huku nilipo mkuuPole pwani sio?
"I am a state"Dola sio mtu, ni mfumo kwa ujumla wake.
Ndio Mimi hapaDagama
Kwani yale maagizo aliyoandika Tumia akili alikuwa anampa nani kama sio huyu namba 2 wa sasaHajakamilika kuwa jasusi kwa kunisumbua.Aombe mungu anichukue kabla ya huo muda
Fumbo mfumbe......Hilo fumbo lako kulifumbua ni simple ila halina mvuto
Kweli kabisa,ila inapoishia akili Yao mi ya kwangu ndio inaanziaKwani yale maagizo aliyoandika Tumia akili alikuwa anampa nani kama sio huyu namba 2 wa sasa
ok.Naongea kutoka moyoni
Huo kuupata ni ngumu,huu wa kwangu ni rahisi
Hahaha.......basi kazi ipo, kama ramani ya mchezo imekuwa hivyo tusishangae nusu mlingoti ili wa pili aelekee moja kuepusha hayo kutokeaKweli kabisa,ila inapoishia akili Yao mi ya kwangu ndio inaanzia
Sio kuwa umesahau kumeza dawa zako leo Mkuu? Kama umesahau basi nenda kameze hizo dawaNimeandika haya nikiwa na akili timamu
Mi nawachora tuHahaha.......basi kazi ipo, kama ramani ya mchezo imekuwa hivyo tusishangae nusu mlingoti ili wa pili aelekee moja kuepusha hayo kutokea