Ninapambana mwanangu awe raisi 2030

che chaunichile

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2026
Posts
439
Reaction score
737
Nikisubiri 2040 ndio aishike nchi,sina uhakika na uhai wangu kutokana na umri wangu.
Japo Mimi ni Dola,lakini siwaani hawa wenzangu kama watampitisha hiyo 2040.
Hivyo muda pekee ni hii 2030 kwani Bado Nina nguvu na ushawishi mkubwa.
Nitawapoteza wote watakao zuia mwanangu asiwe raisi 2030.
Kwaherini
 
Tupunguze bangi. Bangi zinatufanya tusione clearly, tunaona mimoshi tu na maruweruwe
 
ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…