Nianze kwa kutamka kuwa mimi ni mfugaji. Ninataka nipate ndama dume ya nyati ambaye ana umri wa wiki moja ili nimlete kwenye kundi langu la ng'ombe ili aweze kukua na kunyonya maziwa ya ng'ombe wangu mpaka awe na mri mkubwa wa kuweza kujilisha kwa majani.
Nia yangu kubwa ni kuja kupata dume la mbegu ili nije nipate ng'ombe wakubwa (chotara) wenye uzito mkubwa unaoanzia kilo 1500 na kuendelea. Itabidi nimtoe mapembe ili asilete madhara. Kumleta ndama dume kwenye kundi la ng'ombe wangu atazoea na ile fikra ya porini itakuwa imepotea. Sasa swali langu kwa Idara ya Wanyama Pori,
Je, utaratibu huu unawezekana?.