Ninaomba jibu la hesabu yangu hii hapa

Hahahahahaa! Pcm n baadae Engineering. piga vizur hyo hesabu utakubali kwamba jb n 9

so you are an engineer? i find it hard to believe! huna tofauti na maprofessor na ma-dr waliokosa 10m/- za mh. mbatia kwa kushindwa kufanya mtihani wa darasa la saba!
 

kwa nini usibaki tu kwenye HGL yako? maana hii essay kiboko!
 
Kwa wale wanaojua hisabati jibu ni 9.

6/2(1+2) ni sawa na kuandika 6/2x(1+2)

Sasa apply MAGAZIJUTO

Mabano: (1+2) = 3

6/2x3

Gawanya 6/2 = 3

Zidisha

3x3 = 9

Jaribu kutumia excel au hata calculator app kwenye simu yako uone utapata jibu gani
 
Kwa wale wanaojua hisabati jibu ni 9.

6/2(1+2) ni sawa na kuandika 6/2x(1+2)

Sasa apply MAGAZIJUTO

Mabano: (1+2) = 3

6/2x3

Gawanya 6/2 = 3

Zidisha

3x3 = 9

Jaribu kutumia excel au hata calculator app kwenye simu yako uone utapata jibu gani

Mkuu shakazulu kufungua mabano si kujumlisha za ndani pekee, ukifanya hivyo bado hujafungua mabano, kufungua mabano kwa hesabu hii ni lazima uzidishe na ya nje ya mabano km hv; 6/2(3+4) jibu la ndani ambayo ni 7 unaizisha na 2 jibu lake unatumia kuigawanya hiyo 6. Haiitaji kufika drs la 7 kujua hesabu hii.
By Marimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…