Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Ngoja ukue kijana wangu, kwa sasa mshike sana elimu usimwache aende zake.
Unafungiwa vioo kila kona aisee si mtaani si jf pole hommie😂😂Acha tuna hata jf pm zenyewe hamjibu!
Asante sana.. alaf mtu anakwambia mbona wanawake wengi tu unabaki unashangaaUnafungiwa vioo kila kona aisee si mtaani si jf pole hommie![]()
😂Asante sana.. alaf mtu anakwambia mbona wanawake wengi tu unabaki unashangaa
Siyo zege domoDomo zege
Dalali anaweza akala mzigo kabla yake hii ndio hasara yake.Tumia madalali wa mapenzi